Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,
__________________
Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"
SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Ubaya wa karma is transferable to up to four generations, which is not fair at all.Mambo kama haya Mayalla huwa anasema tusubirie karma.
Tatizo sio subira tatizo ni kifo kinapita katikati ya subira bila shuhuda asee.
Hapo kakosea nini ?Hawa maaskofu wa KKKT baadhi yao mmmhhhh....
Mkuu JokaKuu, nadhani Ndugai kama aliona hali hiyo ya Lissu ambayo nilishuhudia hata Mbowe akiisema hadi machozi yanalenga akikumbuka na bado Ndugai kakosa moyo wa huruma anaweza kuwa Spika katili zaidi duniani kwa wakati huu tulio nao...acha hilo la kudai hajui alipo.
..lile la kukataa kumpeleka TL Nairobi, huku hana fahamu, risasi ziko maeneo mbalimbali ya mwili, anavuja damu, na yuko ktk hatari ya kukata roho, ilikuwa jambo ktk historia ya Maspika wote wa Tz.
Pascal ..bhana ,hivi kweli nafsi yako ipo tayari kabisaUbaya wa karma is transferable to up to four generations, which is not fair at all.
P
Mkuu JokaKuu, nadhani Ndugai kama aliona hali hiyo ya Lissu ambayo nilishuhudia hata Mbowe akiisema hadi machozi yanalenga akikumbuka na bado Ndugai kakosa moyo wa huruma anaweza kuwa Spika katili zaidi duniani kwa wakati huu tulio nao.
Hapo kakosea nini ?
Dah! Ina maana hata wasiohusika?Ubaya wa karma is transferable to up to four generations, which is not fair at all.
P