MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,992
- 34,840
Wakuu,
Askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam anatoa tamko muda huu kama Kiongozi wa Tume ya haki na amani TEC. Kupitia TV Tumaini anasema wakati wa kuzungumza ni sasa na hatujachelewa.
Amesisitiza sauti ya umma isipuuzwe! Ni katika adhimisho la misa Takatifu UWAKA day.