Askofu mkuu Jacob Chimeledya asema atatoa ushahidi wa ubdhirifu wa askofu Mokiwa akikataa kujiuzulu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,556
Mgogoro wa kanisa la Anglikana umeingia hatua nyingine baada ya Askofu Mkuu Dk. Jacob Chimeledya kusema amempa muda askofu Mokiwa ajiuzulu akishindwa atatoa hadharani vithibitisho vyoote vinavyoonyesha kuhusika kwa askofu Mokiwa na ubadhirifu


Nionavyo
sasa mtu anakudindishia Dk kwanini unavichelewesha hivyo embu nirushiie inbox basi kama uko humu nivimwage live

lazima tuweke discpline kwenye kanisa la Mungu... Bila discipline wauminii wanapoteaa majumlaa
 
nakuomba sana askofu na mu-anglikana mwenzangu chukua maamzi magumu uwajibike kuepusha fedheha. wangapi wanatumbuliwa hata kwa makosa yaliyofanywa na watumishi wa chini ya ngazi zao? kwanini upaye kigugumizi na mwishowe kukutana na aibu isivyo lazima!
 
nakuomba sana askofu na mu-anglikana mwenzangu chukua maamzi magumu uwajibike kuepusha fedheha. wangapi wanatumbuliwa hata kwa makosa yaliyofanywa na watumishi wa chini ya ngazi zao? kwanini upaye kigugumizi na mwishowe kukutana na aibu isivyo lazima!
Mwacheee aaanikeee anasubirii. Ninii amanayeyee alionjaa wameshiindana mgaoooo? Ainingii akilinii confidence ya ASK MOKIWA Siohivihivi

My take

Akitoaaa ushahidi nahisi NA mokiwa anaushahidi wake sty tuned PART III-WEDNESDAY
 
hili kanisa la Anglican ilimepotea kabisa na kutumikia shetani bila kujiujua.

Mimi nilishuhudia waumini wakimfungia nje Mchungaji wao.

Nilijiuliza maswali hivi hawa waumini wamebadilika kutoka kuwa kondoo na kuwa Mbuzi!

Maana Tabia za Mbuzi ni Ukahidi, tofauti na Kondoo Unyenyekevu.

Sasa hapa ndipo ninapoona kumbe mbegu ya Mbuzi imeanza kupandwa na viongozi hawa.

Sasa Mbuzi wameanza kumea ndani ya kanisa.
 
mamabo yakuparamia tamaduni za watu weupe yanatutokea puani sasa
 
Back
Top Bottom