Naona kuna tatizo la UKAWANISM maana kila anayekwenda kinyume cha muelekeo na ukawa anaambulia matusi na kejeli hii c gt niijuayo au imevamiwa na mdudu ujinga na kutokutafakari vyema kila mtu anawajibu wa kufikiri na kuchagua ila c matusi hatuende wana jf.
Nasoma jinsi tunavyotoa maneno ya kejeli kwa kiongozi wa dini katoa mawazo yake ucmtukane.
Tunahitaji somo la demokrasia ya kweli maana humu kuna domokrasia,ukawa wana nia nzuri ila kwa kuwa wameanza na kashfa hoja yao itawawia vigumu kueleweka wafanye jitihada sana kufikia somo la uraia.