askofu mdegela atema cheche juu ya UKAWA mjini Iringa leo.

askofu mdegela atema cheche juu ya UKAWA mjini Iringa leo.

Status
Not open for further replies.
ASKOFU Mdegela atema cheche asema hana imani na Bunge Maalumu la Katiba (BMK) na awataka UKAWA warudi wakapambane ndani ya bunge asema kama wameshindwa kusema waliyonayo ndani ya bunge warudi nyumbani wakalale na siyo kuja kueneza chuki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo kama salamu zake za Pasaka kwa wananchi mjini Iringa.

Mkuu,
Mimi maaskofu ninaowaamini ni wa R,C tuu! wengine hao kwangu hawana impact kabisa....!
 
Usiwaamini sana viongozi wa dini na wanasiasa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sanga mi nakufahamu, nimekupokea Tumaini Iringa ukiwa bwana mdoooogo kipindi kile unatangaza Country FM kabla hujapigwa Chini na Neema.

Unajua kabisa Mdegela ni mmoja wa maaskofu hovyo kuwahi kutokea kwenye historia ya Kanisa.

Anapata wapi ujasiri wa kukosoa Bunge la katiba wakati kwenye dayosisi yake amefunikwa na tuhuma kibao?

Ukitaja UZINZI ni Mdegela, Ukitaja USHIRIKINA ni Mdegela. Ukutaja ubadhirifu wafedha za kanisa hasa za chuo cha Tumaini ni Mdegela.

Mdegela huyu huyu alikuwa shabiki namba moja wa Mrema.

Mrema sio UKAWA, amemsaliti swahiba wake.

Mdegela hana moral authority ya kukosoa chochote kilichopo duniani. Ni jambazi la kidini

Mwana -------- ni hasara kwa baba yake!!mdegela ni hasara kwa KKKT na taifa!!Kule ndani kwake kuna mwanamke mchawi ambaye ni mke wa board guard wa Jacob zuma ni mchwawi balaa.Siajaona mtu ambaye anatumiwa na kuzimu kama huyu askofu mchawi.Ana ukabila wa kufa mtu chuoni pale Iringa amejaza wa kabila lake.Mdegela ushindwe na kupukutika!!
 
Mchumia tumbo huyuu


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
ASKOFU Mdegela atema cheche asema hana imani na Bunge Maalumu la Katiba (BMK) na awataka UKAWA warudi wakapambane ndani ya bunge asema kama wameshindwa kusema waliyonayo ndani ya bunge warudi nyumbani wakalale na siyo kuja kueneza chuki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo kama salamu zake za Pasaka kwa wananchi mjini Iringa.

ajisaihishe viongozi wa dini wamekua wakitumika bila wao kujua wanaleta uchochezi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom