Tukisema mfumo kristo unafanya kazi watu wanatushambulia.
Hapo kaka ndo utaona kuwa Tanzania ina dini kama ilivyo kwa nchi kama Iran, Uingereza, Saudia nk ila tu imefichwa kinamna mamna hivi. Ebu jiulize kama Lukuvi angeongea maneno yale msikitini kama angetoka salama. Halafu BKWATA nao ndo wamebaki kama bendela fuata upepo tu wakifuatisha maneno ya kina pengo na hawa wazinzi akina mdegera.