Askofu Malasusa: Sijalelewa kuwa Kinyume na Serikali, Sijalelewa kutoitii Serikali

Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema " mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali"

Askofu Malasusa amesema hawezi kukataa ukaribu wa na Serikali kwa Sababu hukulelewa kwenda Kinyume au kutoitii Serikali

Askofu Malasusa amesema Hayo mbele ya viongozi wakuu wa Serikali na mihimili ya DOLA yaani Rais Samia, Spika Dr Tulia, JM Prof Juma, Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi, Waziri wa mambo ya Ndani na RC Chalamila

Source Upendo TV
YUDA ISKARIOTE soon atajinyonga ...!!!!!
 
Miaka ya mwanzo ya tisini (1992/93) alikuja UDSM - CCT Chaplaincy kufanya field kama mchungaji mwanafunzi/ mwanafunzi wa uchungaji.

Akaanza kuchukua mademu zetu (watoto wa chuo), na akitutishia kuwa sisi ni watoto wa maprofesa ila yeye ni kutoka "ikulu".
Tangu hapo ndipo nikamfahamu kuwa ule uchungaji sio wito bali ni cover tu.
 
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema " mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali"

Askofu Malasusa amesema hawezi kukataa ukaribu wa na Serikali kwa Sababu hukulelewa kwenda Kinyume au kutoitii Serikali

Askofu Malasusa amesema Hayo mbele ya viongozi wakuu wa Serikali na mihimili ya DOLA yaani Rais Samia, Spika Dr Tulia, JM Prof Juma, Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi, Waziri wa mambo ya Ndani na RC Chalamila

Source Upendo TV
Kwa hiyo naye ni CHAWA wa mama?
 
KKKT kama BAKWATA sasa
 
Lazima muitii mamlaka za kiserikali.
 
Chaguo letu walutheri lilikuwa dr.benson bagonza ila wakafanya Yao baada ya kuona TEC wanapeleka moto Sasa dhehebu la pili kwa waumini wengi ilibidi lishikiriwe kwa namna yoyote na mkumbuke Dr.Bagonza na kadinali Rugambwa ni marafiki walioshibana fikiria huo moto
Hivi huyo Malasusa anaweza kutawala kwa muda gani?
 
Askofu Malasusa, Kadinali Mstaafu Polycarp Pengo, Sheikh Alhad Mussa Salum na wengineo wengi; huwa hawafichi mahaba yai kwa chama cha Mapinduzi.

Kwa hiyo hakuna jipya hapo. Kitambo sana anafahamika yeye ni nani linapokuja suala lihusulo ccm na serikali yake.
Mwingine kwenye kundi hilo ni Askofu Gamanywa
 
Back
Top Bottom