Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,668
Dini ni vitengo vya serikali.Malasusa hajachaguliwa na kanisa amechaguliwa na Serikali
Hakuna asiyejua Malasusa ni member wa kaunda suti kule kitengo
Safari hii amewekwa na mamlaka kuisadia Serikali na kupambana na TEC
Bahati mbaya kule KKKT hakuna mfumo mzuri wa mgawanyo wa uongozi
Hivyo anaweza kujitokeza mtu mwenye nia ovu akatumia pesa akachaguliwa kuwa askofu
Malasusa amekaa kisiasa kwa manufaa ya wanasiasa not otherwise
Kitakachotokea ni KKKT kupasuka vipande vipande
Imani ya kweli hauipati kwenye dini
%.