Askofu Elias Kitoi wa kanisa la KKKT Meru leo anasimikwa rasmi kuukwaa uaskofu kwa kipindi cha miaka 25.
Ibada ya tukuo hilo inafanyika muda huu katika kanisa hilo dayosisi ya Meru, Leganga, Usa river,wilayani Aruneru ikitanguliwa na maandamano, wageni mbalimbali mashuhuri wameshawasili kanisani hapo.
Asante kwa taarifa ila jitahid kusoma unachoaandika kabla hujapost huu, endele kutujuza kwa usahihi zaidi.
Tupia picha ya matukio yote then tufahamishe hao wagen mashuhur ni nan? Majina yao tafadhal.