Hata Yesu au Mtume Mohamad wakija hapa duniani na kusema hiki Chama Viongozi wake hawafai kabisa ni wachafu kwa jinsi ninavyowajua mtamkejeli hata Yesu au Mtume Mohamad huku mkiwa tayari kuwatetea akina Mbowe kwa nguvu zote!!!
Nilikuwa napita natafuta neno CHADEMA bila mafanikio,nikifahamu kabisa HUYU NI HOME BOY WA ZZK
Chadema kifutwe
Chadema kifutwe
Mboa cdm uongozi wake umetoka kona zote za nchi?Mnyika wa Mwanza,Slaa wa Arusha,Mbowe wa Kilimanjaro,Tundu Lisu wa Singida,Msigwa wa Iringa,Sugu wa Mbeya,Halima Wa Dar,Wenje wa Mwanza.Ebu acheni ujinga mna mdangaya nani?Hizo propaganda za Kitoto na za zamani sana.Mbona husemi CUF ambayo kila kiongozi ni Muislamu hata ukiona ina nguvu sehemu ujue pana waislamu mahali hapoMbona ht mtoto wa miaka miwili anaelewa kabisa kuwa ni chadema inasemwa hapa
serikali inahitajika kuheshimu na kutii sauti ya Mungu hiyo kupitia mchungaji wake Kakobe.
Kifuteni CHADEMA hiyo ndio sauti ya Mungu.
Nina wasiwasi na mleta uzi kama kweli yalisemwa hayo.Mbona x-mass imepita muda mrefu alikuwa wapi?Mzushi huyu ange fungiwa humu JF kidogo.Aliipata wapi anasali pale?Ni mchonganishi tu.Haiwezekani mbona hotuba yake iliwekwa humu tuka ichangia yote.Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amezitaka mamlaka zinazohusika kuvifuta vyama vyote vya siasa vinavyoendeshwa kwa misingi ya ukabila havivurugi nchi. Askofu Kakobe, amezungumza Kanisa kwake hivi karibuni kwenye ibada ya sikukuu ya Krismas alisema miaka kadhaa iliyopita nchi haikuwa akiandamwa na vitendo vya ukabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya. Alisema kuna baadhi ya vyama vya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu kimejulikana kuwa vinendeshwa kikabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya. Alisema kuna baadhi ya vyama nya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu vimeendeshwa kikabila, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi. Askofu Kakobe, alizishauri mamlaka zinazohusika kuvifuatilia vyama hivyo kuvifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwani ni hatari katika mustakabadhi wan chi na wananchi wake. Akizungumza suala zima la uongozi wanachi, hususani kitendo cha mawaziri kadhaa kuondolewa katika nyadhifa zao, alisema ubovu wa viongozi unachangia na mfumo wa kuteua viongozi. Askofu Kakobe alisema kwa kawaida uongozi ni kipaji, hivyo watu wanapoona kunakuwa na viongozi wasiowajibika kikamilifu, wajue kuwa kuna tatizo katika uteuzi wao. Moja ya tatizo kubwa linaloathiri nchi kwa sasa alisema ni kuchagua watu kwa kuangalia maenao wanayotoka.
Hivi Kakobe ni nani na yuko wapi? Mara ya mwisho nilimwona mwaka 1979 akiwa mtumishi wa Moses Kulola.
angalia unasema habari zisizokuwa na ushahidi, utachapwa na mungu na hautaamini machoni mwako, kama huna cha kusema kaa kimya, watu wa mungu uwezi kuwatukana kama mnavyofanya kwa kina zito
Mkuu usiwe mwepesi kuamimini kila kinacho andikwa humu nyingi ni propaganda.Walitaka ionekane Mtumishi wa Mungu haitaki cdm.Ni uzushi wa muweka uziNilikuwa namheshimu sana Askofu Kakobe kama A man of God na mtu mzalendo. Lakini leo natangaza rasmi kutomuani tena, Ninaomba arudi madhabahuni akatubu kwa hii dhambi ya kusaliti na kuhaini harakati za ukombozi.
Chama Chakavu na kizee ndio mwasisi wa ukabila, udini, uuzaji sembe mbovu, meremeta, ufisadi, kagoda, EPA, DIV5 ndio anachomaanisha!acha unafiki , hii umeifinyanga wewe mwenyewe na ilishaletwa humu kwa urefu sana , hebu tuwekee hotuba yote tujisomee wenyewe .