Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Si sahihiWachawaitwe tu
Si sahihiWachawaitwe tu
Hivi polepole h yupo ?Naye akawaambia ''Tubuni mpate ondoleo la dhambi''... Hapo ndipo seke seke lilipopamba moto.
Namkumbuka Daniel, alivyofanyiwa hila Na Viongozi. Walijua ataingia mtegoni tu. Namkumbuka Yeremia Alivyo onewa kwasababu ya Wito wake, alipaza sauti Juu ya utawala dhalimu, naye akawekwa kifungoni ili asiongee, lakini Hakuweza kukaa kimya. Namkumbuka Yesu alivyomwita Mfalme herode "MBWEHA" . Kama Tawala zote zimewekwa Na Mungu. Basi lazima Madhabahu itaongea tu, ata ikichomwa moto.
NAKUOMBA POPOTE ULIPO GWAJIMA COME PLS...NJOO BABA UUNGE HII CHAIN ILI TUENENDE NA UPEPO HUU MZURI WENYE NEEMA YA BWANA...YANI HATUONGEI LOLOTE....
Zaidi Kuelekeza akili na nguvu zetu katika kutulia nakutumaini...na Mashangilio.
Vipi kuhusu Pengo?Nani asiyejua Kakobe ni Pro Lowassa -pro Chadema? Kakobe nae ni mpinzani kama wapinzani wengine tu.
Siku hazigandi
Mkuu...Wee mwehu nini?? Yaani wewe uandike uharo alafu mimi nikusaidie kujenga hoja?? Huo mzigo wako, beba mwenyewe!!
Hamna hoja hapo.








Mzee dah.....mbona jamaa kakukoti kwa maneno ya kawaida tu?hii ni jamii bro hatufanani akili yafaa ujifunze kujadili kwa hekima kidogo.

vimekazaSi kweliHana sifa kuitwa jina jingine
AKATUBU ndio solution pekeeKakobe analake jambo, time will tell!!
Ila huyo magu kumfananisha na Musa rafiki wa MUNGU mnaona ni sahihi kabsaaaaaPlease usimfananishe Kakobe na mashujaa wa imani kama Daniel na Nabii Yeremia. Please acha !!!
Msiishie kumlaumu mtukanaji,Hayo ni mawazo yake hauna haja ya kutukanana. Mimi pia sipendi kumfananisha mtu yoyote ktk biblia na amabye hajamaliza mwendo. Pia ktk biblia kila mtume nabii au mtumishi alikuwa na madhaifu na ubora ukiondoa Yesu pekee. Kuna manabii walikimbia wanawake kwa hofu tuu ya kifo. Je akitokea mtu Leo haogopi kufa atalinganishwa kumzidi yule nabii ? Hasha haitawezekana huo upinganifu utakuwa batili. Kila mtu na karama na kibali chake. Utakuta anaweza tokea mwingine akongea kama Kakobe lakini mwitikio ukawa tifauti kwa jamii na kwa serkali.
Asante rafiki Ubarikiwe mnoMsiishie kumlaumu mtukanaji,
Jifunzeni kuona picha iliyo nyuma ama upande wa pili wa watanzania,
Watu wanachuki kubwa mioyoni,
Chuki ambayo kimsingi inachochewa sana serikali,ilianza bungeni mkanyanyasa wawakilishi wa watu,na sasa mmeingia uraiani mnaminya na kutisha watu,mnachofanya ni sawa na kuziba exhaust valve ya mashine halafu mashine inalipuka mnaanza kulalama,kubana watu,kutisha watu,kunyima Uhuru wa kukosoa ni sawa na kuziba exhaust valve ya mashine ukategemea itadumu,
Acha mtukanwe ni sahihi maana mmejaa utumwa,
Watumwa wakubwa hawa,Beni alitutukana mkaufyata,Asante rafiki Ubarikiwe mno
Lione! Ukianzisha mada kubali na mawazo mbadala siyo wale tu wanaokubaliana nawe. Vinginevyo weka disclaimer kwenye title ya post yako kuwa mawazo mengine hayaruhusiwi. Fala mkubwa !!!Asante rafiki Ubarikiwe mno