Kuna mchungaji mmoja sijui atakoea nchi gani alikuwa anasema Africa ndio sehemu ambapo watu wana imani thabiti na kuomba sana lakini pia ndio sehemu inaongoza kwa umasikini
Hata Mungu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, neno la
Mungu liko wazi na linafundisha mambo yote ikiwemo kufanya kwa bidii. Tatizo waumini wengi hawasomi maandiko, wanatembea na maneno ya viongozi wao wa dini badala ya maneno ya Mungu, mwisho wa siku wanageuka mazuzu na hao watumishi.
Kuna mchungaji mmoja sijui atakoea nchi gani alikuwa anasema Africa ndio sehemu ambapo watu wana imani thabiti na kuomba sana lakini pia ndio sehemu inaongoza kwa umasikini