Askofu Gwajima yupo live redioni

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Rudisha Radio is on Mixlr Rudisha Radio on Mixlr

MSIKILIZE Askofu Gwajima, katika somo la Leo wanarudio kwenye Redio ya Ufufuo na uzima online Redio hii ita kuwepo masaa 24 maneno hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi Mkuu wao wa Ufufuo na Uzima Mch.David Mgogolwa
 
Leo saa tatu na nusu asubuhi hii Askofu Gwajima anafundisha tena
 
Gwajima atafutwe kwa lipi.
Hivi unaweza pambana na nguvu za Mungu!

Msifanye mchezo,mtapata laana mpaka kizazi cha 4
 
Back
Top Bottom