johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,148
Mbunge wa Kawe mh Askofu Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na kukiombea radhi chama kwa wananchi.
Askofu Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.
Mungu ni mwema wakati wote!
Askofu Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.
Mungu ni mwema wakati wote!