Askofu Gwajima: Vita ya kwanza ya dunia iliizaa UN, vita ya pili ikazaa taifa la Israel, Je Corona itazaa nini? Watu wenye akili tunajiuliza


uwe na akili basi,
 
Mwambieni kuwa itazaa KATIBA MPYA
 
Nireteeni gwajima
Nasema nileteeni gwajimaaaaa😂😂😂
 
Ulimwengu (the world) haipaswi kuwa “stable” kama maji mtumgini.
 
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.
² Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
³ Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
 
At a time ndio najifunza kuhusu plate tectonics and earth dynamism😃😃 (2004/5)
 
Watu wenye akili? He is an MP, should be at Mirembe Hospital being treated for mental issues, this guy is sick!! JPM ametuachia mzigo mzito hili.
 
WW1 ilizaa League of Nations
WW2 ilizaa United Nations
Israel, Russia & Islamic Nations itazaa NWO
 
Theory ya kijinga.....!!
 

Watanzania mnapenda vituko sana badala ya kusikiliza Dr wa ukweli mnasikiliza Dr fake! Hivi jiulize kasoma wapi A-level na kamfufua nani?
 
Sasa hapo ndio kasema nini? League of Nations na Umoja wa Mataifa ni vitu viwili tofauti. League of Nations ilifeli katika maazimio yake, ikafa, ndio ukazaliwa Umoja wa Mataifa.

League of Nations ilikuwa zaidi kwa mataifa yaliyoshinda vita dhidi ya Adolf Hitler na allies wake. Umoja wa Mataifa ulikuwa na wigo mpana zaidi.
 
Corona siyo vita ni kirusi ambacho kinga yake ni chanjo na kuzingatia masharti ya madaktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…