Askofu Gwajima: Vita ya kwanza ya dunia iliizaa UN, vita ya pili ikazaa taifa la Israel, Je Corona itazaa nini? Watu wenye akili tunajiuliza

Askofu Gwajima amesema dunia ina mambo yake na utaratibu wake wa kufikia malengo na usipokuwa na akili basi utapata tabu sana.

Askofu Gwajima amesema vita ya kwanza ya dunia iliyoua watu zaidi ya milioni 20 ilipomalizika ukazaliwa Umoja wa Mataifa ( League of Nations)

Vita ya pili nayo iliuwa watu wengi na ilipomalizika likazaliwa taifa la Israel, Mrengo wa Magharibi na Mrengo wa Mashariki.
Kwa sababu Nyerere alikuwa na akili yeye na wenzake wakajianzishia Umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote.
Hata hivyo Umoja huu ulikuwa na faida 50% na hasara 50% kwa sababu nchi zake zilionekana hazina msimamo.

Askofu Gwajima anasema Watu wenye akili wamejichimbia kwenye maktaba zao wanatafakari hii Corona itazaa nini, na nini itakuwa impact yake kwenye uchumi na siasa

Gwajima amesema anamshauri Rais Samia atafute vijana " wenye akili " wajikite katika hili na kutupa mrejesho ili tuwexe kuvuka.

Chanzo: Ibadani Kanisa la Ufufuo na Uzima

Mungu ni mwema wakati wote!
Kajamaa kana akili kweli kwa sasa Corona 3 imeisha, delta wake kwishney
 
Viongozi wa dini sometimes kuna vitu wanaviongelea bila ufahamu wa kutosha , mfano ni huyu gwaji boy, kuna mambo mengi ni mawazo yake na anayaongelea kama unabii na mengi haya uelewa nayo kabisa ila anawaaminisha watu...
Mbona hujasema kitu? Sema kitu, kuwa mahsusi na wewe ufahamu wako ujulikane, acha kujificha.
 
Askofu Gwajima amesema dunia ina mambo yake na utaratibu wake wa kufikia malengo na usipokuwa na akili basi utapata tabu sana.

Askofu Gwajima amesema vita ya kwanza ya dunia iliyoua watu zaidi ya milioni 20 ilipomalizika ukazaliwa Umoja wa Mataifa ( League of Nations)

Vita ya pili nayo iliuwa watu wengi na ilipomalizika likazaliwa taifa la Israel, Mrengo wa Magharibi na Mrengo wa Mashariki.
Kwa sababu Nyerere alikuwa na akili yeye na wenzake wakajianzishia Umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote.
Hata hivyo Umoja huu ulikuwa na faida 50% na hasara 50% kwa sababu nchi zake zilionekana hazina msimamo.

Askofu Gwajima anasema Watu wenye akili wamejichimbia kwenye maktaba zao wanatafakari hii Corona itazaa nini, na nini itakuwa impact yake kwenye uchumi na siasa

Gwajima amesema anamshauri Rais Samia atafute vijana " wenye akili " wajikite katika hili na kutupa mrejesho ili tuwexe kuvuka.

Chanzo: Ibadani Kanisa la Ufufuo na Uzima

Mungu ni mwema wakati wote!
Hizi conspiracy theories zimekuwa chanzo kikuu cha ujinga na umaskini wa fikra kwa watu wengi sana eg. Gwajima na wafuasi wake🚮🚮
 
Spanish flu ilizaa nini?
Hii iliua sana kuliko corona.

Utabiri wa kuchomeka chomeka kwa kuogopa kibesi cha mzee wa upako.
 
Miaka 100 iliyopita kulitokea pugo kubwa zaidi corona walikufa watu wengi zaidi hakuna lolote zaidi chanjo kuzidi kugunduliwa.....na hiki hivyo hivyo pia lutaputa wana science watazidi kuimarika kujua zaidi kukabiliana majanja.....huyo gwaji awadanganye wafuasi wake ambao wana full confo na yeye sio kila mtu..
 
Back
Top Bottom