Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Tunasubiria taamko la gwajima nini kitakacho zungumzwa leo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
View: https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
Nahisi alijiandaa kwasababu anakijua chama chake na aina ya mwenyekiti walie naeNi kama amepoteza direction, lengo lake halikuwa ilivyopokelewa.
Let's see
Sijui unaumwaga?Ni kama amepoteza direction, lengo lake halikuwa ilivyopokelewa.
Let's see
Ww unajua direction yake?Ni kama amepoteza direction, lengo lake halikuwa ilivyopokelewa.
Let's see
Gwaji anajua kuanza na anajua atakavyomalizaNahisi aliniandaa kwasababu anakijua chama chake na aina ya mwenyekiti walie nae
BadoAmeshaanza ?
TeyariMbona video haifunguki? Au teyari wameifanyia figisu?
SubiriNi kama amepoteza direction, lengo lake halikuwa ilivyopokelewa.
Let's see
Huyo ni muimba taarabu za kauoiga mwingi, acha a naeSijui unaumwaga?
Hili lina nafasi kubwa sanaAu wasiojulikana washavamia kanisa?🤔🤔
Wahi kwasababu page na channel zinazorusha content zake zinaanza kupigwa pin na TCRA wameanza na millardayoDuh
Ila nitaikuta kwenye acc yake hamna shida
Akasahau kuwa ni mtoto wa kamboNahisi alijiandaa kwasababu anakijua chama chake na aina ya mwenyekiti walie nae
Kwenye hili sijawahi kuwa na mashaka naeGwaji anajua kuanza na anajua atakavyomaliza