KEKO JUU
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 592
- 1,834
Ni jasusi kweli kweliGwajima ana akili kuliko wao
Ni jasusi kweli kweliGwajima ana akili kuliko wao
It was not for free.. Money talk..!Nyie huyu gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.
Kila wakitageti location inasoma dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma uyole ,mbeya hahahaha
Chura alitumia ushirikina kumpata polepole,Kabisa
Yaani aliniudhi mimi japo iliniumiza
Sijui alikuwa ashajitoa mhanga ? Mpk leo simuelewi!
Hivi kwa hadhi yake angeshindwa kuishi nchi yyt kweli?
limeutendea haki ujasusi wake, sio kama yale majasusi yanayodakwa kindezi kama kumbikumbiNi jasusi kweli kweli
Chawa hawawezi kumkamata chawa mwenzao kama gwajima tapeli la kunukaNyie huyu gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.
Kila wakitageti location inasoma dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma uyole ,mbeya hahahaha
MFUMO ZAIDI YA JK ni nani mwingine ?Gwaji boy analindwa na mfumo. Hii kitu lazima mtu ang’olewe. dkt Samia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyo
ningekuwa mimi lisu ningemwachia halafu njiani natengenezea ajali mbaya na kumwua kwa sumu ana kelele sana, yeye na hecheHivi wakisema Lissu nae awe out now, set him free itakuaje? huenda wakapunguza mizuka ya ma gen z. Wamuachie na Lissu akafanye shughuli zake za siasa na chama chake cha CHADEMA. Si ndio maridhiano yenyewe yanakotakiwa kupita na huko? Huko ndiko kwenyewe hasa to the maxmum let Lissu free. pengine huu upepo mkali unaovuma utapungua kasi yake katika siasa za nchi hii kwa wakati huu
Wewe jamaa unazinguaningekuwa mimi lisu ningemwachia halafu njiani natengenezea ajali mbaya na kumwua kwa sumu ana kelele sana, yeye na heche
mnawewesuka bure na wale wajuba, kina Lissu na Heche siasa zao na chama chao wameishapitwa na wakati kwa sasa hawana ushawishi kwa vijana. Vijana wameamua kufanya mageuzi yao wenyewe bila kutegemea chama cha siasa kiwapambanie kuleta reformsningekuwa mimi lisu ningemwachia halafu njiani natengenezea ajali mbaya na kumwua kwa sumu ana kelele sana, yeye na heche
ana kauli za kukeraWewe jamaa unazingua
Habil alisema kuna kampuni ya cm ilitumika kumpataChura alitumia ushirikina kumpata polepole,
Mwenyezi Mungu akujalie upate ajali mbaya. Amiinningekuwa mimi lisu ningemwachia halafu njiani natengenezea ajali mbaya na kumwua kwa sumu ana kelele sana, yeye na heche
acha ujinga basi si afe anayekinukishaMwenyezi Mungu akujalie upate ajali mbaya. Amiin
Amini uchawi upo Kuna dawa za kumuita MTU aliye mbali..Ss kwann alifanya yale akiwa Tz ? Mbaya zaidi hali halisi alikuwa anaijua?
Duh
Hivi wakisema Lissu nae awe out now, set him free itakuaje? huenda wakapunguza mizuka ya ma gen z. Wamuachie na Lissu akafanye shughuli zake za siasa na chama chake cha CHADEMA. Si ndio maridhiano yenyewe yanakotakiwa kupita na huko? Huko ndiko kwenyewe hasa to the maxmum let Lissu free. pengine huu upepo mkali unaovuma utapungua kasi yake katika siasa za nchi hii kwa wakati huu
Kama wangekuwa hawana ushawish serikal isinge hangaika kuwapa kesi, kuwakama hovyo kuwasingizia wao ndio chanzo cha maandamanomnawewesuka bure na wale wajuba, kina Lissu na Heche siasa zao na chama chao wameishapitwa na wakati kwa sasa hawana ushawishi kwa vijana. Vijana wameamua kufanya mageuzi yao wenyewe bila kutegemea chama cha siasa kiwapambanie kuleta reforms
Kiburi sana... sikuhizi kawa nunda jambazi suguSamia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyo
mnawewesuka bure na wale wajuba, kina Lissu na Heche siasa zao na chama chao wameishapitwa na wakati kwa sasa hawana ushawishi kwa vijana. Vijana wameamua kufanya mageuzi yao wenyewe bila kutegemea chama cha siasa kiwapambanie kuleta reforms