Hawezi toa mrejesho huyo kawa mdogo kama piritoniKwani hajatoa mrejesho juu ya case yake na Wana wa kijani kupitia Tume ya maadili?
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Mleta Uzi,Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Kwa hiyo watu wenye akili wanakimbia mjadala!!?Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
Mbona umefura?Mleta Uzi,
Ndiyo maana watanzania tunafananishwa na vitu.
Ni mtu mjinga tu anaweza kumsikiliza Gwajima,yaani watanye mahojiano na mgunduzi na mtu ambaye hana taaluma ya magonjwa!
Duuuuh!yaani mgunduzi wa chanjo afanye mahojiano na mtu ambaye hajui hata sindano inachomwaje!
Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
wa u-idiotGwajima ni genious
Utabiri: atatoka kwenye hiyo zoom meeting akisema amejiridhisha na usalama wa chanjo kwahiyo waTZ wakachomwe