Graph JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 2,735 Reaction score 6,170 Feb 12, 2017 #21 Nimeona hii video, aisee jamaa amemuweka Makonda anapostahili. Watu wameanza kuona jinsi gani jamaa anakurupuka ovyo
Nimeona hii video, aisee jamaa amemuweka Makonda anapostahili. Watu wameanza kuona jinsi gani jamaa anakurupuka ovyo
zongok Member Joined Jan 3, 2017 Posts 36 Reaction score 14 Feb 12, 2017 #22 Huyo mtoa taarifa aseme kituo gani cha TV mbona habari haiko standard inaelea tu ????
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,825 Reaction score 9,644 Feb 12, 2017 #23 Ndio amekutuma uje useme huo upambuvu??
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Feb 12, 2017 #24 Jamaa ameona amepata fursa ya kupata waumini wapya. hataki kupoteza Golden chance
U ushuhudaaa Senior Member Joined Jan 16, 2017 Posts 131 Reaction score 57 Feb 12, 2017 #25 Hope itakuwa kwenye page yake facebook Huwa anakuwa live