Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Hakuna cha radi wala nini hapo
 
All the best. Naamini ningelikuwa mimi nina mamlaka, akisema chochote kibaya kwa Serikali au Rais, namkamata mbele yenu "waumini wake". Namkata makofi. Nafunga Kanisa lake milele labda alipeleke Kenya.

Na wewe na waumini wenzako hamtafanya chochote zaidi ya kuloloma mitandaoni.
That will be an act of terrorism, kwa CCM si ajabu wakafanya hivyo
 
Wale ambao ndugu zetu wametekwa na hii serikali ovu ya mama Yao na chawa ambao tupo zaidi ya miambili,kesho uelekeo ni kanisani Kwa gwajima
 
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Kama anazo busara nzuri kichwani kwake kesho akae kimya kabisa. Kauli ya Rais huwa na uzito mkubwa.

Kujibizana na Rais litakuwa kosa ambalo atalijutia mpaka siku ya mwisho ya uhai wake.
 
Kisha mjibu mbona, unadhani Bishop Gwajima ni praise and worship team😀
Screenshot_20250531-191208.jpg
 
Back
Top Bottom