Askofu Gwajima: Huu sasa si utekaji bali uchukuaji kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
"Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa wa kutisha sasa, sasa siyo utekaji tena umekuwa uchukuaji au uvunaji. Imekuwa sasa ni kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda la kuku wakati wowote, saa yoyote kwa naman ayoyote."- Amesema Askofu Gwajima

Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…