Nilikua muumini wake mtiifu,,Ila anachosha na anafanya mambo ya aibu.. Ibada nzima anagombana na mipasho, watu tunataka kula neno. Tunaondoka kapa,,na mbaya zaidi waumini wanamshangilia ,,anachamba ukifika muda wa sadka wanatoa anaendelea kuchamba, tunatoa sadaka baada ya kusikiliza misutano, SAD