Siku hizi movie za ukweli zinachezwa na wachungaji maaskofu manabii na mitume ya kikristu! Wale kina van dame walikua wanatuibia tu
Akasema, habari ya polisi na pengo hataisema tena. Lakini aliahidi ataendelea kuonya yeyote, awe mbunge, waziri, askofu, mkuu wa majeshi au raisi. Akasema 'Hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda
Enye makafi...ri nani kawaloga na elimu zenu bado mnadanganywa kama watoto
Kuuliza si ujinga.Je nani alifufuliwa na gwajima?
Kuuliza si ujinga.Je nani alifufuliwa na gwajima?
Nilisema huyu shetani hajamaliza maigizo na akitoka huko atakuja na mpya. Tz na Africa ni sheeeeeeeedah