Ushawahi kuona makanisa ya kilokole yanatoa MISAADA KWA MASIKINI NA WASIOJIWEZA!Sio anunue ndege ya gharama kubwa tena iliyotumika, kimeo ambacho matengenezo yake yatazidi kuwatia waumini mzigo mkubwa zaidi wa sadaka na michango.
Askofu awasaidie maskini, ajenge shule, hospitali, nyumba za kulea yatima na wasiojiweza. Anayo chopa tayari, sasa ndege, tena jet itakayokula gharama kubwa mno!
Siamini kamwe kama mtu wa namna hii MOYO wake upo kwa waumini wake MASKINI!!! Siamini kamwe kama mtu wa namna hii ana HURUMA na wasiojiweza! Siamini kamwe kwamba Askofu anatimiza aliyoagiza YESU KRISTO, kwamba; Dini ya kweli ni hii.... Yakobo 1:27!
Kwa hiyo unataka askofu ndo aanze kujenga shule na hospitali...hiyo kazi ni ya serikali sababu ndo inakusanya kodi zetu...kodi zetu hazitakiwi kutumiwa na sizonje kama mali yake binafsi na familia yakeSio anunue ndege ya gharama kubwa tena iliyotumika, kimeo ambacho matengenezo yake yatazidi kuwatia waumini mzigo mkubwa zaidi wa sadaka na michango.
Askofu awasaidie maskini, ajenge shule, hospitali, nyumba za kulea yatima na wasiojiweza. Anayo chopa tayari, sasa ndege, tena jet itakayokula gharama kubwa mno!
Siamini kamwe kama mtu wa namna hii MOYO wake upo kwa waumini wake MASKINI!!! Siamini kamwe kama mtu wa namna hii ana HURUMA na wasiojiweza! Siamini kamwe kwamba Askofu anatimiza aliyoagiza YESU KRISTO, kwamba; Dini ya kweli ni hii.... Yakobo 1:27!
wew unayemtolea gwajima mapovu ulishawah mnunulia mtoto wa jirani hata daftari? ulishaenda hata hospital ukawapa maskini kipande cha sabuni au machungwa? toa kwanza boriti kwenye jicho lako
Akikujibu fanya kuntag
Hapo ndipo watu wengi hukosea kufikiri kujenga shule au hospitali ni kazi ya serikali. Hata kujenga barabara sio kazi ya serikali pekee nchi za watu wengine watu binafsi hujenga barabara, viwanja vya ndege, vyuo vikuu nk. Una ushirika na Gwajima nini?Kwa hiyo unataka askofu ndo aanze kujenga shule na hospitali...hiyo kazi ni ya serikali sababu ndo inakusanya kodi zetu...kodi zetu hazitakiwi kutumiwa na sizonje kama mali yake binafsi na familia yake
Wewe majibu yako yanaonesha hufikiri sana na angalia maisha yako utakuta wewe:Fanya kazi mdogo wangu, acha kuonea wivu hela za mume wa mwenzio. Tafuta mume uolewe uache wivu wa ajabu ajabu kwa maendeleo ya mume wa mwanamke mwenzio.