johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,141
Acha kushabikia dhambi bwashee!Ngozi nyeusi ni laana!!
Eti hawa ndio viongozi wa kiroho wanaotakiwa kuona haki za raia zinalindwa na kuiheshimiwa!!
Unluckily he has no brain to use.This guy needs to use his brain
Askofu Gamanywa ni mwanahabari anayemiliki gazeti na Radio......hivyo uelewa wake siutilii shaka!Mpe 'twita' ya Pompeo halafu arudie hotuba, halafu atwambie na Sweeden wamesemaje ili tubaki njia kuu.
Kwani taarifa ya Pompeo imetaja ushoga pekee.
Ndo tatizo la maaskofu kumiliki kadi za vyama vya siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akafanye nini?
Ngozi nyeusi ni laana!!
Eti hawa ndio viongozi wa kiroho wanaotakiwa kuona haki za raia zinalindwa na kuiheshimiwa!!
Kwani taarifa ya Pompeo imetaja ushoga pekee.
Ndo tatizo la maaskofu kumiliki kadi za vyama vya siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa dini zingine wanatafuta mkate wao wa kila sikuMpe 'twita' ya Pompeo halafu arudie hotuba, halafu atwambie na Sweeden wamesemaje ili tubaki njia kuu.
Acha kushabikia dhambi bwashee!
Mzee ungepanda ndege ukawaambie Wakubwa huko MarekaniAskofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo