Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Dini sawa na NGOs zinazofutwa kila siku na ziko chini ya sheria moja.haha eti zinafutwa

Kwani yuko mahakamani hadi atoe ushahidi? Wenye akili wameelewa, walioshikiwa akili wasubiri ushahidi!Ukweli unaosemwa unatakiwa kusemwa ukiambatana na ushahidi unaposema.Askofu kuibuka tu na kusema serikali iache kuwapangia bila kuambatanisha ushahidi anapokuwa anaongea hayo si sahihi.Alitakiwa afafanue na atoe vielelezo vya ushahidi pia.Huo ndio ukweli unaotakiwa kusikiwa iwe hadharani au sirini .
Kwani yuko mahakamani hadi atoe ushahidi? Wenye akili wameelewa, walioshikiwa akili wasubiri ushahidi!
Askofu: Serikali isitupangie cha kufanya
ASKOFU wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chedieli Sendoro, amewataka viongozi wa Serikali wasiwaingilie viongozi wa dini katika utendaji wao wa kazi.
Alisema utamaduni wa baadhi ya wakuu wa Serikali kuwaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya usipewe nafasi kwa sababu unaweza kusababisha vurugu katika nchi.
“Kama ilivyo kwa kiongozi wa dini kutakiwa kutochanganya dini na siasa, iwe hivyo hivyo kwa kiongozi wa siasa kutojiingiza katika masuala ya dini zaidi ya kwenda kuabudu,” alisema.
Akizungumza katika uzinduzi wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa hilo jana, Askofu Sendoro pia alishauri dini zote ziwe sawa mbele ya sheria na ziwe huru kutenda bila kuongozwa na mamlaka za serikali.
Dayosisi ya Mwanga imepatikana baada ya mgogoro wa zaidi ya miaka 20 ambao waumini wa Dayosisi ya Pare (Mwanga) wamekuwa wakipigania kujitenga na ile ya Same.
Sendoro ambaye ndiye askofu wa kwanza wa Dayosisis hiyo mpya, alipendekeza iundwe kamati za maridhianio kutafuta usuluhishi panapotokea msuguano wa makundi ya jamii badala ya serikali kutumia nguvu kutatua migogoro hiyo.
Alionya kuhusu matumizi makubwa ya nguvu katika kutatua migogoro, kwamba yanaweza kumomonyoa mshikamano wa taifa.
“Ili kuepusha matumizi ya nguvu kila kunapojitokeza kutoelewana katika makundi mbalimbali, uwekwe utaratibu wa kuunda kamati mbalimbali za haki, amani na maridhiano katika ngazi mbalimbali na zisimamiwe na watu watakaochaguliwa na wanamakundi wenyewe.
“Wakutane na kuzungumza bila shinikizo la mtu yeyote. Mfumo huu ukitumiwa vizuri unaweza kuisaidia sana Serikali katika masuala ya amani, haki na kujenga maridhiano katika jamii,” alisema askofu huyo.
Askofu Sendoro alisema kwa muda mrefu Tanzania imekuwa na amani na uhuru mkubwa wa kuabudu na hiyo ni moja ya nguzo muhimu iliyoliimarisha Taifa.
Kiongozi huyo wa Kanisa alisema zaidi ya asilimia 90 ya Watanzania wanaabudu kupitia dini mbalimbali na katika hao asilimia 50 ni wanachama wa vyama vya siasa.
Alishauri suala hilo lisiwatenganishe bali wapewe uhuru wa kujadiliana huku masuala ya dini yakibaki nje ya utawala wa serikali.
“Tanzania ni nchi na pia Tanzania ni taifa na taifa ni zaidi ya nchi…nchi inaweza kuongozwa na mtu mmoja lakini taifa hujengwa na
kuongozwa na timu ya watu wengi.
“Taifa lililojengwa na watu wengi na kwa muda mrefu, linaweza kubomolewa na mtu mmoja au kikundi kidogo iwapo wataachiwa na kufanya mambo yasiyo sawa.
“Ni maombi yangu kuwa taifa letu la Tanzania lililojengwa kwa muda mrefu na watu wengi liendelee kulindwa na kuwa na amani. Ili tufanikiwe katika hili tunahitaji uongozi wa pamoja bila kujali dini, itikadi, kabila au tabaka fulani,”alisema Askofu huyo.
Aliongeza kuwa Taifa imara ni tunda la kazi ya watu wa itikadi zote, dini zote na makabila yote hivyo ni vema mshikamano huo ukaendelezwa.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa siasa na serikali wakiwamo mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Waziri Mkuuwa zamani, Edward Lowassa.
Wengine ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Angela Kairuki.
Chanzo:Mtanzania
Huyu Askofu naona ni mgeni Tanzania au kwenye Uaskofu au vyote viwili. Nani kamwingilia madaraka yake kama ndiyo kwanza kasimikwa? Na hii ya dini zingine kupendelewa, ni zipi hizo? Zimependelewa na nani? Lini, na yeye si ndiyo kasimikwa jana?Askofu: Serikali isitupangie cha kufanya

Hebu wewe jibu kiroho tuone!Umejibu kisiasa na kimuhemko
Kwani amesimikwa akitokea nje ya kanisa? Amekuwa ndani ya kanisa dayosisi ya Mashariki na Pwani miaka mingi tu, kazi ya kanisa ni kufanya "checks and balance", huyu ni msomi, hajakurupuka, anajua alichokiongea.Huyu Askofu naona ni mgeni Tanzania au kwenye Uaskofu au vyote viwili. Nani kamwingilia madaraka yake kama ndiyo kwanza kasimikwa? Na hii ya dini zingine kupendelewa, ni zipi hizo? Zimependelewa na nani? Lini, na yeye si ndiyo kasimikwa jana?
.....mawaziri wakuu wastaafu na waziri mkuu wa zamani..Askofu: Serikali isitupangie cha kufanya
ASKOFU wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chedieli Sendoro, amewataka viongozi wa Serikali wasiwaingilie viongozi wa dini katika utendaji wao wa kazi.
Alisema utamaduni wa baadhi ya wakuu wa Serikali kuwaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya usipewe nafasi kwa sababu unaweza kusababisha vurugu katika nchi.
“Kama ilivyo kwa kiongozi wa dini kutakiwa kutochanganya dini na siasa, iwe hivyo hivyo kwa kiongozi wa siasa kutojiingiza katika masuala ya dini zaidi ya kwenda kuabudu,” alisema.
Akizungumza katika uzinduzi wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa hilo jana, Askofu Sendoro pia alishauri dini zote ziwe sawa mbele ya sheria na ziwe huru kutenda bila kuongozwa na mamlaka za serikali.
Dayosisi ya Mwanga imepatikana baada ya mgogoro wa zaidi ya miaka 20 ambao waumini wa Dayosisi ya Pare (Mwanga) wamekuwa wakipigania kujitenga na ile ya Same.
Sendoro ambaye ndiye askofu wa kwanza wa Dayosisis hiyo mpya, alipendekeza iundwe kamati za maridhianio kutafuta usuluhishi panapotokea msuguano wa makundi ya jamii badala ya serikali kutumia nguvu kutatua migogoro hiyo.
Alionya kuhusu matumizi makubwa ya nguvu katika kutatua migogoro, kwamba yanaweza kumomonyoa mshikamano wa taifa.
“Ili kuepusha matumizi ya nguvu kila kunapojitokeza kutoelewana katika makundi mbalimbali, uwekwe utaratibu wa kuunda kamati mbalimbali za haki, amani na maridhiano katika ngazi mbalimbali na zisimamiwe na watu watakaochaguliwa na wanamakundi wenyewe.
“Wakutane na kuzungumza bila shinikizo la mtu yeyote. Mfumo huu ukitumiwa vizuri unaweza kuisaidia sana Serikali katika masuala ya amani, haki na kujenga maridhiano katika jamii,” alisema askofu huyo.
Askofu Sendoro alisema kwa muda mrefu Tanzania imekuwa na amani na uhuru mkubwa wa kuabudu na hiyo ni moja ya nguzo muhimu iliyoliimarisha Taifa.
Kiongozi huyo wa Kanisa alisema zaidi ya asilimia 90 ya Watanzania wanaabudu kupitia dini mbalimbali na katika hao asilimia 50 ni wanachama wa vyama vya siasa.
Alishauri suala hilo lisiwatenganishe bali wapewe uhuru wa kujadiliana huku masuala ya dini yakibaki nje ya utawala wa serikali.
“Tanzania ni nchi na pia Tanzania ni taifa na taifa ni zaidi ya nchi…nchi inaweza kuongozwa na mtu mmoja lakini taifa hujengwa na
kuongozwa na timu ya watu wengi.
“Taifa lililojengwa na watu wengi na kwa muda mrefu, linaweza kubomolewa na mtu mmoja au kikundi kidogo iwapo wataachiwa na kufanya mambo yasiyo sawa.
“Ni maombi yangu kuwa taifa letu la Tanzania lililojengwa kwa muda mrefu na watu wengi liendelee kulindwa na kuwa na amani. Ili tufanikiwe katika hili tunahitaji uongozi wa pamoja bila kujali dini, itikadi, kabila au tabaka fulani,”alisema Askofu huyo.
Aliongeza kuwa Taifa imara ni tunda la kazi ya watu wa itikadi zote, dini zote na makabila yote hivyo ni vema mshikamano huo ukaendelezwa.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa siasa na serikali wakiwamo mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Waziri Mkuuwa zamani, Edward Lowassa.
Wengine ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Angela Kairuki.
Chanzo:Mtanzania
Dini gani iliyosaidiwa na serikali kusajiliwa hapo kwenuDini zinasajiriwa na serikali lazima zisimamiwe.
Zikishindwa zinafutwa tu kwa penseli.