Askofu Chedieli Sendoro, Serikali isitupangie cha kufanya

Uhuru wa kuabudu kama katiba inavyosema ni muhimu kuwepo, iwe mchana au usiku. Iwe kupayuka au kimya kimya. Iwe kwa kucheza ngoma au kusimama kimya.

Iwe kwa vipaza sauti ( loud speaker ) au kwa sauti za kimya kimya.

Kila mtu na Mungu wake so far tumeshakubaliana kuvumiliana katika kuabudu.

Serikali ya Tanzania haina dini ila watu wake wana dini. Hii ni katiba nzuri mno na tunu kwa Taifa letu.
 
Ukweli unaosemwa unatakiwa kusemwa ukiambatana na ushahidi unaposema.Askofu kuibuka tu na kusema serikali iache kuwapangia bila kuambatanisha ushahidi anapokuwa anaongea hayo si sahihi.Alitakiwa afafanue na atoe vielelezo vya ushahidi pia.Huo ndio ukweli unaotakiwa kusikiwa iwe hadharani au sirini .

Askofu kasema lililopo ushahidi wa vielelezo wa nini? Hata serekali kuombea dini fulani kujengewa nyumba ya ibada au kuwajengea makao makuu ni kuingilia mambo ya dini ili kupata kuungwa mkono na wao.
 
Ukweli unaosemwa unatakiwa kusemwa ukiambatana na ushahidi unaposema.Askofu kuibuka tu na kusema serikali iache kuwapangia bila kuambatanisha ushahidi anapokuwa anaongea hayo si sahihi.Alitakiwa afafanue na atoe vielelezo vya ushahidi pia.Huo ndio ukweli unaotakiwa kusikiwa iwe hadharani au sirini .
Ukweli unaosemwa unatakiwa kusemwa ukiambatana na ushahidi unaposema.Askofu kuibuka tu na kusema serikali iache kuwapangia bila kuambatanisha ushahidi anapokuwa anaongea hayo si sahihi.Alitakiwa afafanue na atoe vielelezo vya ushahidi pia.Huo ndio ukweli unaotakiwa kusikiwa iwe hadharani au sirini .
Mbona unatokwa na povu sana?
Hiyo sherehe ilikuwa ni ya uzinduzi wa Dayosisi.Hilo tukio haikuwa siku ya ngoma ya mdumange ya kuisuta serikali!!! Au sherehe ya mipasho ya taarabu ya kusuta serikali haikuwepo haja ya yeye kusema hivyo.
 
Ukiona mtu mzima hakwenda ujue kuna mazito
Uwe unaficha upumbavu wako acha kukariri alikuwa na majukumu mengine ujumbe ndo huo serikali isiwapangie viongozi wa dini cha kufanya
 
Huyo mzee kajisahau, mbona hakukemea Lowassa alivyoomba kura kwa kanisa lake huko Tabora ama hakujua siasa na dini havichangaywi?

Viongozi wa hivi ni wanafiki na wa kupiga mawe.
Hataki serikali iziangalie dini ili zipate nafasi ya kuingiza ushoga? Huu ni upuuzi mkubwa sana
 
Hawa maaskofu wa Lowasa hawa shida sana anazungumza ubwabwa tu.
Kwenye mambo ya ukweli mnaingiza siasa huu ujinga kabisa
Huyo mzee kajisahau, mbona hakukemea Lowassa alivyoomba kura kwa kanisa lake huko Tabora ama hakujua siasa na dini havichangaywi?

Viongozi wa hivi ni wanafiki na wa kupiga mawe.
Hataki serikali iziangalie dini ili zipate nafasi ya kuingiza ushoga? Huu ni upuuzi mkubwa sana
 
Ukweli unaosemwa unatakiwa kusemwa ukiambatana na ushahidi unaposema.Askofu kuibuka tu na kusema serikali iache kuwapangia bila kuambatanisha ushahidi anapokuwa anaongea hayo si sahihi.Alitakiwa afafanue na atoe vielelezo vya ushahidi pia.Huo ndio ukweli unaotakiwa kusikiwa iwe hadharani au sirini .
Kamuona Lowassa lazima aoneshe kuwa hela imekwenda sawia
 
Hiyo sherehe ilikuwa ni ya uzinduzi wa Dayosisi.Hilo tukio haikuwa siku ya ngoma ya mdumange ya kuisuta serikali!!! Au sherehe ya mipasho ya taarabu ya kusuta serikali haikuwepo haja ya yeye kusema hivyo.
We we mnafki, kaisuta au kasema hawataki monitoring?
 
Wahubiriwe watu wajue uovu wao, na alaaniwe amtegemeae mwanadamu, ili hali moyoni amemsahau mungu, je, in haki serikali kuwaelekeza spiritual leaders waseme nini? Kama tumefika huko basi hali ni mbaya.
 
Huyu kiongozi nadhani anajua mipaka yake na ni mtu mwenye msimamo. Kiongozi wa dini haipaswi kuwa mnafiki kwani unaongozwa na roho mtakatifu. Mpeni ushirikiano
 
Tunatumbau huyo na Askofu Shoo ndio makamanda lazima watetee maslahi.
 
Back
Top Bottom