Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Kila Mtu anatakiwa kujihoji kisha amuulize Mungu baada ya hapo atafanya maamuzi, Mwaka 2024 nilipogundua Watu wanazembea kujiandikisha wakiaminia wakipiga kura zitaibiwa, nikawaambia wajiandikishe ili wanaotaka kuiba wapate cha kuiba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivyo, wakati huu sitaki kumwambia Mtu kajiandikishe au la, kama na imani na Mfumo wetu wa Uchaguzi akajiandikishe, kama hana basi aache.