Michezo ya ccm hii mkuu usiwazeHao ndugu wa Lissu na wao wanatafuta laana tu, utakubali vipi hata kuwasikiliza mashetani kama hawa. Kule kukubali tu kuwasikiliza ni kujiweka kwenye majaribu makubwa.
Hofu ni kuwa wasije wakamuuza ndugu yao kwa bei maalum, maana hawa sasa hivi hawana linaloshindikana tena.
Inachanganya sana mkuu 'Mshana Jr'!Huko FB Gen Z wameongea shit sana kuhusu jamaa
Ina maana michezo ya kufikia kwenye "MARIDHIANO" sasa inapitia kwenye hizi njia mbadala ya hadaa na ulaghai wa akina Samia uliozoelka?Michezo ya ccm hii mkuu usiwaze
Hawamfurahii,Ee Mungu epushia mbali wasiruke naeHuyu faza huwa anamwaga madini tupu
Hao mapimbi kwa spana anazowapiga...ipo siku wataruka nae!
Nchi ina watu wenye akili hivi hatafu unawahadaa na kesi za kijinga unabaki kudharaurika mno hii kesi wangeifuta mapema tu kuliko hao boda boda hawajui hata majina yao wameenda kutoa ushahidi wa kubumba..
Kuna huyu Waziri Mkuu (Haram), mvaa mabendera kageuka kuwa kioja!Wanahangaika wanajaribu kila mbinu
Ila wenye akili ndogo watadai anachanganya dini, sheria na siasa.Askofu ni DOKTA wa kusoma na sio kama wale wa HESHIMA eti!!!
Mwenendo wa huyo Jaji Mkuu ni sawa na ule wa mtu aliyechoka kazi anaset mazingira atumbuliwe!Hivi nimemsikia vizuri na kuelewa haya maneno aliyosema hapa huyu mtu?
Au haya ni maneno yanayosemwa halafu yasiwe na maana iliyolengwa; na wasikilizaji wawe tayari wameandaliwa kuelewa kivingine kuliko maneno yalivyosemwa?
Sasa kama haya maneno yanalenga kufikisha ujumbe/maana halisi yanayoieleza, kuna sababu gani zinazofanya tuendelee kuwa katika hali hii ya mizunguko isiyoeleweka hata huko mahakamani.
Huyo DPP hayamhusu haya maneno? Akina Hamza Johari hayawahusu haya maneno? Akina Katuga Nassoro, hayagusi kabisa haya maneno?
Sitaki kumhukumu huyu mtu aliyeyasema haya maneno harakaharaka. Ngoja tumpe muda tuone mwendo wake unavyokwenda.
ni mwanafunzi wa tundulisu toka 1994-97 wa democratic na haki za binadamuAskofu ni DOKTA wa kusoma na sio kama wale wa HESHIMA eti!!!
Sasa hiyo itamsaidia kitu gani?Mwenendo wa huyo Jaji Mkuu ni sawa na ule wa mtu aliyechoka kazi anaset mazingira atumbuliwe!
Bora yeye anayasema hadharani. Na si mara moja!Sasa hiyo itamsaidia kitu gani?
Yeye hajui kwamba kwa wakati huu tuliomo sasa akisimama kidete na kusimamia hayo anayowatangazia waTanzania na wakaona kweli kuwa amenuia iwe hivyo, kitendo hicho kingemweka kwenye hali tofauti kabisa mbele za waTanzania?
Kwanza kitendo hicho tu kingebadilisha hali yote si huko kwenye mahakama pekee; bali hata viongozi wengine wangeanza kuiga na kuwa na ujasiri wa kuangusha uovu huu.
Sasa yeye anajificha na kuzungumzia mvunguni tu, bila hata ya kufuatilia chochote, anataka kuwahadaa waTanzania ili iweje?