Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

Hao ndugu wa Lissu na wao wanatafuta laana tu, utakubali vipi hata kuwasikiliza mashetani kama hawa. Kule kukubali tu kuwasikiliza ni kujiweka kwenye majaribu makubwa.

Hofu ni kuwa wasije wakamuuza ndugu yao kwa bei maalum, maana hawa sasa hivi hawana linaloshindikana tena.
Michezo ya ccm hii mkuu usiwaze
 
Huko FB Gen Z wameongea shit sana kuhusu jamaa
Inachanganya sana mkuu 'Mshana Jr'!

Hii ni mbinu mpya ya kuwavuruga waTanzania akili, au vipi?

Kwa nini aseme maneno, wakati matendo yakiendelea vile vile. Anatafuta kumfurahisha nani?
 
AHAAAAA!

Hatimaye nimegundua kosa langu.

Huyu mtu nilimchukulia katika 'context' tofauti kabisa na aliyokuwa akiizungumzia.

My mistake!

Nilichukulia "maagizo" tofauti kabisa na aliyokuwa akiyazungumzia yeye!
 
Hivi nimemsikia vizuri na kuelewa haya maneno aliyosema hapa huyu mtu?

Au haya ni maneno yanayosemwa halafu yasiwe na maana iliyolengwa; na wasikilizaji wawe tayari wameandaliwa kuelewa kivingine kuliko maneno yalivyosemwa?

Sasa kama haya maneno yanalenga kufikisha ujumbe/maana halisi yanayoieleza, kuna sababu gani zinazofanya tuendelee kuwa katika hali hii ya mizunguko isiyoeleweka hata huko mahakamani.

Huyo DPP hayamhusu haya maneno? Akina Hamza Johari hayawahusu haya maneno? Akina Katuga Nassoro, hayagusi kabisa haya maneno?

Sitaki kumhukumu huyu mtu aliyeyasema haya maneno harakaharaka. Ngoja tumpe muda tuone mwendo wake unavyokwenda.
Mwenendo wa huyo Jaji Mkuu ni sawa na ule wa mtu aliyechoka kazi anaset mazingira atumbuliwe!
 
Askofu ni DOKTA wa kusoma na sio kama wale wa HESHIMA eti!!!
ni mwanafunzi wa tundulisu toka 1994-97 wa democratic na haki za binadamu

Kanisa la KKKT lilimwomba lisu ndo kamaliza chuo UDSM awake wachungaji nchi zima material hayo kwahiyo hataki askofu mkuu wao nikiburi chase ni mwanafunzi wa lisu

Lengo la mafunzo hayo kwamba nchi imetoka mfumo wachama kimoja kwenda kwenye mfumo wa vyama vingi ,hivyo pia taasisi zilitakiwa nazo zibadilishe mifumo yao

Tafuta ,kitabu cha hayati askofu dr kweka ....soma update uhondo
 
Mwenendo wa huyo Jaji Mkuu ni sawa na ule wa mtu aliyechoka kazi anaset mazingira atumbuliwe!
Sasa hiyo itamsaidia kitu gani?

Yeye hajui kwamba kwa wakati huu tuliomo sasa akisimama kidete na kusimamia hayo anayowatangazia waTanzania na wakaona kweli kuwa amenuia iwe hivyo, kitendo hicho kingemweka kwenye hali tofauti kabisa mbele za waTanzania?

Kwanza kitendo hicho tu kingebadilisha hali yote si huko kwenye mahakama pekee; bali hata viongozi wengine wangeanza kuiga na kuwa na ujasiri wa kuangusha uovu huu.

Sasa yeye anajificha na kuzungumzia mvunguni tu, bila hata ya kufuatilia chochote, anataka kuwahadaa waTanzania ili iweje?
 
Bora yeye anayasema hadharani. Na si mara moja!
Nadhani amechoka kupokea maelekezo kutoka kwa machawa wa lakitari SSH!
 
Back
Top Bottom