Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

Wanaombea amani kufungua anga
 
Hakuna nchi yoyote yenye maendeleo ya kidemokrasia inayozuia siasa kwenye makanisa na misikiti.Sio Ulaya wala Marekani kuna.
Mkuu wewe unaishi dunia ipi?
Fanya utafiti wa kutosha halafu ujibu kwa uhakika wa yale unayoyasema .
 
Huyo sheikh asitutishe
Mbona hakumpiga mkwara Gwajima na Mashimoo?
Hao akina Mungwira wanahaki ya kuwa wanapotaka wao
Na Mzee wa upako je?mbina wanatumia madhabahu kumpamba magufuli?hakuwahi kusema lolote,mnaogopa nini?
 
Huyu ndo amkemee Bagonza?
 
Yahee karibu ubwabwa tuko na sheikh alhadi
 
Alikuwa anajua cdm haiwezi kuwa na viongozi wa dini wanaoikubali, hivyo anaona wananchi watazidi kuwa na imani na cdm iwapo watatokea viongozi wa dini hadharani kuwaunga mkono.
hao viongozi wako wa dini hawana tofauti na nabii tito
 
Mbona umesahau pengo na yule shehe wa Mkoa wa dar
 
Kwenye neno CCM waweza kuweka Chadema

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…