macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,790
- 39,581
Na mimi pia. Amewapiga watani zake kijembe. Ila huyu Askofu ni lulu ya Taifa. Ana busara na amestaarabika sana.hii nummber 10 imenichekesaha sana aisee 🤣 🤣 🤣
10. Kuwaachia wabambikiwa kesi kisha ukawabambikia wengine ni sawa na kusimamisha saa ili kukomboa muda. Hiyo wanafanyaga Wajaluo ili kusaidia betri ya saa isiishe haraka!