Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

Anaandika Askofu Benson Bagonza

Jizoeze kuvuta pumzi na kufikiri. Hii itakusaidia kujisikiliza kabla hujategemea kusikilizwa na unaowahutubia. Uwezo wa kujisikiliza hukuwezesha kutambua kweli hizi:

1. Haki na madaraka ya kumpiga mtu haimwondelei mtu huyo haki ya kulia. Kwa hiyo kumchapa mtu kisha ukamwambia "funga mdomo" ni kujipa haki isiyo yako. Iliyo yako ni kuchapa. Mchapwaji ana haki ya kulia na kutolia. Haki hii haiondolewi na mamlaka yoyote ya duniani wala kuzimu. Jadili hata kama huwezi kubadili chochote.

2. Mtawaliwa ana haki ya kulalamika. Katiba itamke au isitamke, maadam kuna mtawala na mtawaliwa; basi kulalamika ni haki isiondolewa ya mtawaliwa.

3. Hali kadhalika, mtawala ana haki ya kulalamikiwa isiyotegemea kuwemo au kutokuwemo ndani ya katiba. Mtawala asipolalamikiwa anakuwa ameonewa na kunyimwa haki yake. Kuzuia kulalamikiwa si kujionea tu, bali ni kukwepa kupokea haki ikupasayo.

4. Mtawala kupongezwa, kuombewa na kusemwa vizuri si haki ya kikatiba. Hizi ni fadhila zisizolipiwa.

5. Kulalamikiwa si kigezo kuwa mtawala ni mbaya. Ni raia wanatekeleza haki yao ya msingi isiyohitaji katiba.

6. Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa.

Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu. Hoja yenye nguvu haihitaji dhamana mahakamani. Tuwahi foleni.

Askofu Benson Bagonza.
Hapa pengo anajisikia viɓaƴa na mzee wa kuomɓewa anajisikia kichwa kuuma
 
Hii imeshiba,
 
Kama ni ujumbe wa Askofu. Hata mie askofu. Lakini mwisho Wa Siku Askofu anatafakarisha kila mtu na ni kosa Kubwa La kujimurder kwenye Any given reflection kumnyooshea mwingine .huwa ni self reflection.mnatumika vibaya. Mana mahubiri hutolewa kila Siku. The tutafutiane basi yanayomgusa na Mugabe.
 
I understood him very well, but these dudes wameshapanga kuichokonoa serikali, hii sio kazi ya maaskofu, waachie wapinzani, kama maaskofu they want to criticize the government, waache dini waanzishe chama cha siasa.. It is very clear wanachofanya kiko well organised, hawa ni wasomi, their move inaonekana, na mbaya ziadi kwa mfano Kakobe it is known ni Chadema.. Wht do you expect

Jay One, waacheni raia waseme mawazo na hisia zao. Maaskofu hawana hila wala kosa lolote, bali wanatekeleza wajibu, majukumu na haki zao tu. Wajibu na haki hizo ni za kawaida na zimekuwa zikifanyika bila shida isipokuwa katika utawala huu wa awamu ya tano, kwanini?

Halafu hivi ni Wapinzani gani hao unaowazungumzia? Je ni hao ambao Serikali na CCM wamewapiga marufuku kufanya siasa hadi 2020? Hao ambao kucha kutwa ni kuwabambikiza kesi na kuwaonea kwa mateso ambayo hata Wakoloni wa miaka ya 1800 hawakufanya ukatili ule?

Kama mtawala anafanya vema (kwa ukweli na sio kipropaganda) basi kusingekuwa na haja ya nguvu kubwa kama tunayoishuhudia sasa kulazimisha mambo.

"Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu. Hoja yenye nguvu haihitaji dhamana mahakamani."
 
I understood him very well, but these dudes wameshapanga kuichokonoa serikali, hii sio kazi ya maaskofu, waachie wapinzani, kama maaskofu they want to criticize the government, waache dini waanzishe chama cha siasa.. It is very clear wanachofanya kiko well organised, hawa ni wasomi, their move inaonekana, na mbaya ziadi kwa mfano Kakobe it is known ni Chadema.. Wht do you expect

Serikali haina Dini well and good.Raia wa Tanzania wanaimani za Dini Mbalimbali.Basi kama Waumini ni Raia watanzania basi wanaviongozi wao ndani ya kanisa na Misikiti.

Waache viongozi wa Dini watusemee wanayohaki ya kugombea Watawala na hivyo hivyo kutusemea watawaliwa.Msituonee WIVU ni Muda wetu.

CCM mna majeshi,Mahakama na Magereza,watawaliwa tuna Viongozi wa Dini na majengo yake mentioned WIVU.

Mkiomba kuombewa ni Siasa msiogope kukosolewa.

Hao Wabunge wa CCM tuliodhania watatutetea wako busy kutetea matumbo yao.

Kikubwa tuacheni n.a. Viongozi wetu wa Dini!Maybe kada number one aka Askofu Pengo kesho atawasemea Watawala hapo ST Joseph msijali
 
Jay One, waacheni raia waseme mawazo na hisia zao. Maaskofu hawana hila wala kosa lolote, bali wanatekeza wajibu wao tu.

Halafu hivi ni Wapinzani gani hao unaowazungumzia? Je ni hao ambao Serikali na CCM wamewapiga marufuku kufanya siasa hadi 2020? Hao ambao kucha kutwa ni kuwabambikiza kesi na kuwaonea kwa mateso ambayo hata Wakoloni wa miaka ya 1800 hawakufanya ukatili ule?

Kama mtawala anafanya vema (kwa ukweli sio kipropaganda) basi kusingekuwa na haja ya nguvu kubwa kama tunayoishuhudia sasa kulazimisha mambo.

"Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu. Hoja yenye nguvu haihitaji dhamana mahakamani."
nimeupenda mwisho wa ujumbe huu
 
Hawa maaskofu naona wanapigiana simu na kupanga cha kusema, wanaichokonoa serikali hii iko wazi, na wao wakianza chokonolewa wasipige kelele, hii ligi ishaanza naona..!! Hii miaskofu feki hii utaijua tu, hivi Kakobe alisema ana hela kuliko serikali? Mwizi wa sadaka ana hela kuliko serikali? Hela zote tunazotumia ni za serikali, sasa yeye ana hela zake zaidi ya serikali ipi?
Yeye ni Tajiri katika ulimwengu wa roho na si mwili
 
Nashangaa askofu mtu mzima anaandika mipasho...huo uaskofu ameusomea wapi huyu mtu
Anafundisha, kilicho mpasho hapa ni nini?
Hebu tizama wakina Gambo,Frenk wana ubavu wa kumtusi Mtu mzee kama Askofu Kakobe unajua ni kwa nini?
Kujikweza huondoa maarifa,hekima na unyenyekevu mbele za watu na Mungu ndio maana utakuta wanaweza tamka hadharani "mzee amenena maneno ya kishenzi na kipuuzi" umri wa frenk na kakobe ni kizuizi tosha kwa mujibu wa mila na destuli za kitanzania na misahafu yote Mungu anazuia utovu wa nidhamu wa aina hiyo.
Hayo madaraka wanayatoa wapi? KUJIKWEZA
 
Mpaka Sasa dakika ya 85 maaskofu 5 vs 0 magufuli, sioni dalili yoyote ya kupata hata goli Moja la kufutia machozi, Japo naona wanashambulia sana bila akili!

Maaskofu wanagusa boli bhana pasi mbili ya tatu wayaaaaaaaaaaaa, kwa ufupi timu magu pale golini ameweka shati,

Kakobe amefumua shuti kutoka golini kwake kitu kikazama Moja kwa Moja sizonje hoi chini bin taabani hajui afanyeje?

Team magu hata mkamsajili Messi na mnyama cr7 hi mechi tayari mmeshaelekezwa kibla!
 
Kakobe ni CHADEMA.. So anatumia tu uaskofu wake kujificha uhalisia wake.. Kakobe ni Chadema wazi wazi inajulikana muda mrefu sana tokea uchaguzi wa 2015.. So asifikiri hatumjui

Mliozoea vya kunyonga bwana!Askofu Pengo akimsifia JPM na kuorder watanzania wamsifie hamlioni siyo.Hakika Nyani haoni....
 
Back
Top Bottom