Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Huyo polisi kwenye ngazi!!!
Nishasema hakuna mNigeria mwema. Hawa watu wote waongo, wezi, ujanja ujanja mwingi. Askofu gani anafanana na hivyo!!
Uhamiaji waache kutoa visa kwa wanigeria hawana jema hawa watu. Hakuna cha maana wanachofanya Tz zaidi ya kuuza unga tu.
ha ha ha,unga na utapeli tapel ambao na sisi watanzania tumesha-Paste
Mwingine kazindua helcopta, kweli ni sadaka tu ama unga pia?
Mnigeria yeyote ni tapeli naturally. Wameshaiharibu Tz vya kutosha bado uhamiaji wanatoa visa kila siku na kila siku wanashikwa na unga. Mitanzania hatusomi alama za nyakati
Mbona hatusikii Sheikh kanaswa na unga?kila kukicha askofu nabii mchungaji
Mbona hatusikii Sheikh kanaswa na unga?kila kukicha askofu nabii mchungaji