Mwigulu yupi unamuongelea yule mjomba wako au yule mdogo wa kaka yako.Wamepatia.. Unategemea waziri kama Mwigulu afananishwe na malaika kweli?
haa haa, mkuu umegusa pabaya, kwa hiyo watoto mpaka uoe? Una utani na kina membe na pinda wewe, maana hao maaskofu ndo mabosi wao mkuu!Huyo askofu mwenyewe shetani watoto kila kona ya nchi halafu anasema haruhusiwi kuoa.
teh teh, ukweli haujawahi kushabikiwa na ccm kamwe!Nipashe ni gazeti linalotumiwa na mawakala wa chadema
Comrade, kabla ya kuanza kumrushia maneno ya kejeli Askofu, jaribu kwanza kuangalia source ya habari.Huyo askofu mwenyewe shetani watoto kila kona ya nchi halafu anasema haruhusiwi kuoa.
Mwigulu yupi unamuongelea yule mjomba wako au yule mdogo wa kaka yako.
Huyo askofu mwenyewe shetani watoto kila kona ya nchi halafu anasema haruhusiwi kuoa.
Mwigulu yupi unamuongelea yule mjomba wako au yule mdogo wa kaka yako.
Huyo askofu mwenyewe shetani watoto kila kona ya nchi halafu anasema haruhusiwi kuoa.
Hapana anamzungumzia yule mume wako
Bila kujali gazeti kama ni la ccm au CHADEMA au vyovyote vile, issue iko hivi! Askofu amesema au hakusema hayo maneno!?Comrade, kabla ya kuanza kumrushia maneno ya kejeli Askofu, jaribu kwanza kuangalia source ya habari.
Gazeti la Nipashe kwa uandishi wa habari za kisiasa liko mapacha na Tanzania Daima.
Mantiki ya tamko la Maaskofu wa kanisa katoliki Tanzania ni tofauti kabisa na habari zilizoandikwa na vyombo vya habari ambavyo ni midomo ya chama kilichokuwa kinaitwa CHADEMA ambacho viongozi wake kwa sasa wamekimbilia kwenye mwanvuli wa kikundi kinachojiita UKAWA.
huyo askofu mwenyewe shetani watoto kila kona ya nchi halafu anasema haruhusiwi kuoa.