Askari wote wanatakiwa kukaa kambini

Askari wote wanatakiwa kukaa kambini

Itakuwa vizuri wakiishi maisha halisi ya kishetani huko kwenye mikambi yao ya mabati mabati
 
Je! wanazo nyumba za kutos heleza kuwaweka askari wote ndani ?
Suala la nyumba hoja ya msingi.Kama ametowa tamko hawajajiandaa utasikia tunaongeza miundombinu yao imeisha hiyo.Lakini wakiweza na nidhamu ya jeshi la polisi itaongezeka.Wale chapombe watabanwa.
 
Kambini au mabatini?wajenge nyumba zenye hadhi ya kuitwa kambi,siyo hizi kama kambi za wavuvi.Jeshi la sasa siyo la zamani,mtu anakaa kambini wee hajui kulipa kodi wala maji,umeme,chumba kimoja hapo hapo baba mama watoto,akistaafu ndo anatoka kuona maisha ya nje hapo lazima achangayikiwe akistaafu.Huku wanapokaa wanajifunza ustaarabu,wakikaa kambini kazi kulewa tu na kuibiana wake.

Wajenge kama zile za Kunduchi au Mikocheni kisha ndio watoe hayo matamko.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.

Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
Majengo yenyewe hana anafikiri watakaa wapi??!!
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.

Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
Bila shaka watarudi makambini na familia zao
 
Hiyo iikuwa kuonesha mkazo kwamba serekali ifanya hima ili askari wote warudi camp.
 
Ingawa nilikuwa ni mtoto wa kambo wa askari polisi, niliweza kushuhudia shida mbalimbali zilizomtinga baba yule wa kambo. Saizi yuko zake Geita kule, njaa kali inammaliza. Alipoona nimeoa mke wa kutoka kule Geita, akaanza kunishobhokea ili niwe nampiga geki nikienda ukweni. Nilichofanya nilimfukuza mke yule faster, nikaoa m Tanga.
 
Back
Top Bottom