Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,158
- 51,849
kinachokabili nchi hii ni hakuna majengo ya kutosha. Askari ni wengi nyumba ni chacheSio lazima, kambi gani anasema? Zinatosha??
kinachokabili nchi hii ni hakuna majengo ya kutosha. Askari ni wengi nyumba ni chacheSio lazima, kambi gani anasema? Zinatosha??
Watakuwa wanaenda mchanaMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.
Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
Ikiwa hivyo hata ule usumbufu wa barabarani utapungua,Kwa sababu ya uchovu wa kwata🏃🏃🏃Kambini Muda Wote Roll Call
Lia Number Baba Mwajuma Kutoka Kulia
Hivi zile nyumba za mabati pale police ballacks maeneo ya keko machungwa bado zipo?



Kambi zenyewe na miundombinu yake ipo hoi. Kazi ya askari polisi wanaifanya iwe kama laana hao watawala
YES SiR 🫡🫡🫡Amri ni MOJA tu
YES SIR.
Unashangaa kambi je vituo vya polisi sindiyo vichekesho hata choo cha sa100 ni bora mara 1000 kuliko vituo vya polisi sijui kwanini vituo vya polisi vina dharauliwa sana na wahuni wa ccm ...hivi pesheni ya afisa mmoja wa polisi inatosha kujenga kituo standard ...sasa kama serikali inaweza kulipa pesheni inashindwa nini kujenga vituo vya kisasa vya polisi nchi nzima....kuwe na nyota za vituo kama ilivyo kwa hotel ....kituo cha nyota 1 kituo cha nyota 2 kituo cha nyota 3 ,vituo vijenge kila nyota na ubora wake kuanzia ukubwa .idadi ya askari .vifaa kazi nk .Kambi zenyewe na miundombinu yake ipo hoi. Kazi ya askari polisi wanaifanya iwe kama laana hao watawala
Ccm niKambi zenyewe na miundombinu yake ipo hoi. Kazi ya askari polisi wanaifanya iwe kama laana hao watawala



kabisa polisi ndiyo jicho la nchi ,ukienda katika nchi yoyote na ukataka kujua upo salama kiasi gani basi wewe angalia ubora wa vituo vya polisi vya hiyo nchi tu ni moja ya kitu muhimu sana ..ukikuta polisi wamevaa nguo hadi zenye viraka jua hali ni tete sana kiusalama ...leo hii kuna familia za polisi CCM inawalaza kwenye mabanda ya mabati kama nguruwe.Ndiyo maana mimi nasema sana humu kuwa CCM NI MAFII HUYO MASAUNI SI AWAJENGEE POLISI NYUMBA KULIKO KUWATISHA WAPUMBAVU MITANDAONI KUWA WANAMKASHIFU MAMA ...KAMA MAMA HATAKI KUKASHIFIWA DAWA NI KUACHIA MADARAKA TU . JPM NA UKALI WOTE ALIOKUWA NAO WALIMKASHIFU ILA YEYE ALIPUUZA NA KUENDELEA KUCHAPA KAZI KWA BIDIIYaani kuishi vile vibanda vya bati vya polisi ni uendawazimu uliotukuka.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana maaskari wanakuwa wahuni ili la kulaza familia zao kwenye mabanda ya nguruwe ni uhuni mkubwa sana ..bora ingekuwa askari asiye na familia ila hata hiyo ni upuuzi ..ccm acheni upumbavu pesa za tozo zitumike kufumua mfumo mzima wa polisi kuanzia vituo vya polisi ,makazi ya polisi na familia zao na vitendea kazi, bila kusahau mahakamaInasikitisha sana, imefikia mahala wanakuwa wanyonge askari polisi wetu .
Very true mimi naonaga hata aibu kuona vituo vya polisi vilivyo utadhani bucha za utumboNchi ina ugonjwa wa ubinafsi mkuu. Polisi tunaweza waboreshea na wakwa kama Polisi wa Duabi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.
Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
[/QUOTMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.
Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
[/QUOTE inabidi wataarishiwe sensa yao.
Kota za polisi ndio kambi zenyeweKambi? Au anamaanisha kota za polisi?
Kwa kambi hilo naona ni ngumu kutekelezeka sababu polisi wengine wanamaisha ya kifamilia mitaa,
Utapomwambia atoke kwake akakae kambini kama yuko vitani never, never naludia tena neverrr
Kuna mmoja leo nilimpa lift yeye ni traffic p, ametumiwa voice note isemayo...amkeni Waziri Nchemba ameagiza Yutong 60 nchi inatafunwa.Jana nilienda sehem kupat chakula cha usiku nimefik pale kuna askar wale kikosi cha FFU nae alikua anapat msosi huku anasikiliza nondo za tundulisu sjui ata ulikua mjadala gan ule coz hakuweka headphone aliwek saut kubwa 😂😂 moyon nikajisema duuh kumb wana wanamuelewa san ila ndo ivo tena
Kama si viapo vinavyowabana tungekua tunaongea mengine saivKuna mmoja leo nilimpa lift yeye ni traffic p, ametumiwa voice note isemayo...amkeni Waziri Nchemba ameagiza Yutong 60 nchi inatafunwa.
Akasnza kunihoji hii ni kqeli ama uongo?
Nikamjibu niliisoma jf.
Akauliza tena je mabasi ya Ester ni yake kweli?.nikamjibu sina uhakika nasikia sikia tu.
Mwamba alisikitika sana