Askari watwangana hadharani

KWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
wee askari si raia.. ukitaka ujue hiyo kauli ya raia upite kwenye kambi zao, yan nahisi kuwa mjeshi wanabadili vingi sana.. eti ona raia walivyozubaa wakati naye anatazama wanachotazama raia..
 
Magereza mara nyingi wanatoewa jkt,halafu hakuna wanaojiheshimu kama magereza anajua tu utamkuta magerezani hangaiki na raia wa mtaani kama polis
Atahangaika vipi na raia wakati yeye kazi yake ni ulinzi(kuchunga wafungwa) ila polisi(wanaume/wazee wa kazi) lazima wahangaike na raia maana kazi yao ina interaction na raia.
 
Buguruni gani?
 
Kwa asilimia kubwa hili jambo itakua halijatokea, bali mleta mada kaamua kuchokoza ili ajipatie taarifa kuhusiana na utimamu wa majeshi yetu, naona hapa kwenye muendelezo wa comments utaweza fahamu wahusika wote. Ngoja tuendelee kusoma comments za wajeda.
 
fanyeni yote ila msipeleke viuno kwa waumini wa 121 na 92kj, kuna watu walishapoteza hisia za maumivu, *PAIN IS MY MEDICINE*
 
Mi nishawaangusha sana hao
majamaa nikiwa kijana wa miaka 25/27'tatizo hawafutati sheria inavyotaka hivyo hutumia mabavu hata ktk swala la maelewano.ila mi ni RAIA MWEMA KWA SASA.
 
Bila picha (hata ya ku-edit), hizi ni porojo
 
Koleza utamu kwakuweka video..hahaha
 
fanyeni yote ila msipeleke viuno kwa waumini wa 121 na 92kj, kuna watu walishapoteza hisia za maumivu, *PAIN IS MY MEDICINE*
Wale hawachezewi na hawana reaction ya kipuuzi ila wakireact itakuwa balaa
 
Hongera
Jwtz mnavyopewa sifa na raia basi mnajawa na ubabe,sasa tumeamua tuwaonyeshe kwa kuwatembezea kichapo ili mjue kila mtu ana weledi wa kazi yake,pia mjue kuheshimu kazi za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…