PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
654
Reaction score
1,598
Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.

Screenshot 2025-04-10 112942.png

ongezea hii kwenye stori yako

JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Brenda Rupia amezungumza na JamiiForums kuhusu tukio hilo amesema “Ni kweli Polisi wamevamia mkutano wetu na Wanahabari, wameondoka na viongozi kadhaa wakiwemo Makamu Mwenyekiti, John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema.”

WhatsApp Image 2025-04-10 at 11.30.22_91072b55.jpg

WhatsApp Image 2025-04-10 at 11.31.50_f6011f3c.jpg

GoKUe58WEAAUhKU.jpg

Police wamevamia press conference ya Makamu Mwenyekiti Heche. Wamepiga mabomu Lakini Heche kaanza kuzungumza.
Polisi wanasema wanauhitaji uongozi wote wa Chadema uende polisi. Heche kakataa na kasema wataenda baada ya press conference
 
Ndugu zetu wa Songea tujuzeni kama taarifa hii ni ya ukweli, inadaiwa Askari wa Jeshi la Polisi wamefika katika eneo ambalo CHADEMA walipanga kukutana na wanahabari kabla ya kufanyika kwa mkutano wao mchana wa leo Aprili 10, 2025.

Inadaiwa mabomu ya machozi yamerushwa na Wananchi waliokuwa wamesogea eneo la tukio wamesambaa na kuzua taharuki.

Tujuzeni kama hizi taarifa ni za kweli na nini kinachoendelea
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
 
Screenshot_20250410_112228.jpg
 
Tumewaagiza wanasheria wetu wa ndani ya nchi na nje ya nchi kuijulisha dunia na wananchi wa Tanzania juu ya unyanyasaji wa Rais Samia dhidi ya wananchi wanaopinga uwizi wa kura.

Kasema Chadema wataendelea na mapambano hata viongozi wake wote wakiwa ndani.
 
Ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Ruvuma imepigwa mabomu asuhuhi hii wakijiandaa kufanya press conference ya Makamu Mwenyekiti kuelezea sakata la Mwenyekiti wao Tundu Lissu kukamatwa.

Pia soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Screenshot 2025-04-10 112942.png

Screenshot 2025-04-10 113118.png

===

UPDATE
Pamoja na Polisi kupiga mabomu kwenye ofisi ya Chama Mkoa wa Ruvuma mpaka muda huu bado Polisi wenye silaha wamezingira ofisi za Chama na gari za Polisi zinazidi kuongezeka.
 
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Walikuletea fujo lini?Hebu endelea kuchambua matembele.Mambo ya watu wazima huwezi kuyajua.
 
kwani huko songea si ndio nyumbani kwa nchimbi.? maana katibu mkuu baada ya uteuzi wa dom sasahivi nae anapewa hadhi ya Vice president vp kina lissu eti wapachafue huko haiwezekani bhana.!
 
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Nchi imetulia mzee Kibao na Soka , Roma si ndugu zako

Wewe huna tofaut na nyumbu ambae anadai mbuga imetulia kisa zamu yake ya kushambuliwa n Simba haijafika

JITOFAUTISHE NA NYUMBU , NCHINI MAUJI YANAFANYWA KWA WAPINZANI KILA BAADA YA MIEZ , HV UNAHIS SOMALIA WALIANZAJE ? HV SIKU WAPINZAN WAKIACHA KUHUTUBIA MAJUKWAANI NA WAO WAKAANZA MOVEMENT KAMA ZA M23 HV MHANGA UNAHISI ATAKUWA NI SAMIA AU WW KIMAH WA KIGOGO SOKONI ?

SHUKURU SANA TUNA UPINZAN UNAOAMIN KTK MDOMO ILA IKIFIKA MUDA WAKIAMUA KUTUMIA NJIA NYINGINE BAS TAMBUA MHANGA ATAKUW WW NA VIZAZ VYAKO NA SIO SAMIA AU MKUU WW MAJESHI AMBAO MNAWAPA KIBURI CHA KUTOHESHIMU KATIBA NA KUJIANISHA KAMA MIUNGU WATU
 
Polisi sasa wameamrisha viongozi wote wa kitaifa waende kituo cha polisi.
Viongozi wote wa chama wapo chini ya ulinzi wa polisi.
 
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Wewe MBWA tu hufai hata kuwa dekio la waarabu! wenzio washavuta mtonyo we umebakia kubwekea wazalendo! Mtumwa wa akili za kufugwa Jini Majununi!
 
Ndugu zetu wa Songea tujuzeni kama taarifa hii ni ya ukweli, inadaiwa Askari wa Jeshi la Polisi wamefika katika eneo ambalo CHADEMA walipanga kukutana na wanahabari kabla ya kufanyika kwa mkutano wao mchana wa leo Aprili 10, 2025.

Inadaiwa mabomu ya machozi yamerushwa na Wananchi waliokuwa wamesogea eneo la tukio wamesambaa na kuzua taharuki.

Tujuzeni kama hizi taarifa ni za kweli na nini kinachoendelea

========================

Awlai kuelekea mkutano huo na Wanahabari, taarifa iliyotolewa upande wa CHADEMA

well done vyombo vya ulinzi na usalama Songea:KasugaYeah:
ni muhimu sana magenge ya kihalifu yanayojificha nyuma ya kufanya mikutano ya kisiasa kote nchini, yakasamabaratishwa mapema iwezekanvyo bila huruma, kabla hayajaleta uharibifu na madhara kwa wananchi :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom