Alhamisi 10 Aprili 2025
Ruvuma, Tanzania
MITAA YA MJI WA SONGEA POLISI YAPIGA DORIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Bw8pcGNMbDY
Ruvuma, Tanzania
MITAA YA MJI WA SONGEA POLISI YAPIGA DORIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Bw8pcGNMbDY
Hii ya leo leo jana ilikuwa Mbinga.Habari ya Jana hiyo. Watu washasahau na kusahau
Mama yako yupo kijijini analima kwa jembe la mkono mgongo umepindaWATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Bado wako na chadema?😅Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.
View attachment 3298822
Watashindwa tuPolisi sasa wameamrisha viongozi wote wa kitaifa waende kituo cha polisi.
Viongozi wote wa chama wapo chini ya ulinzi wa polisi.
Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.
View attachment 3298822
relax bas usipanic gentleman,Kajadiliane na mamako dalali wa raslimali zetu! sina muda na mijibwa koko!

NdioHizo ndio 4R za chura kiziwi.
Waione kunguni waaandamizi wa chura kiziwi.
ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2 Lucas Mwashambwa.
Mpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa. Maana haiwezekani mnatoa maneno ya kichochezi tu kila sikuHizo ndio 4R za chura kiziwi.
Waione kunguni waaandamizi wa chura kiziwi.
ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2 Lucas Mwashambwa.
Wapigwe tu CHADEMA.Ndio
Kuchochea nini? Yaani yake maelfu ya watanzania wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA wanapenda kuchochea!Mpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa. Maana haiwezekani mnatoa maneno ya kichochezi tu kila siku
. Mpigwe vizuri mpaka mbubujikwe na machozi.
Hii ni dalili ya CCM kuzidiwa majukwaani!Wapigwe tu CHADEMA.
AKina Sabaya na kina Gambo walikuwa zaidi yako NduguMpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa. Maana haiwezekani mnatoa maneno ya kichochezi tu kila siku
. Mpigwe vizuri mpaka mbubujikwe na machozi.
Hahahaha......Lucas alibubujikwa sana mpaka leo ameamua kuingia n mapanga na visuKuchochea nini? Yaani yake maelfu ya watanzania wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA wanapenda kuchochea!
Mkileta ubishi na kukataa kutii sheria bila shuruti ni lazima mpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa na kushika adabu.Hii ni dalili ya CCM kuzidiwa majukwaani!
CCM hawana watu wa kujenga hoja. Ningeshangaa Sana kama wangeacha No reforms No elections!Hahahaha......Lucas alibubujikwa sana mpaka leo ameamua kuingia n mapanga na visu