delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,001
- 1,292
Mi huwa siwaelewi kwani job description yao Ina waruhusu na kama inawaruhusu Je kuna haja gani ya kuwa na wanaovaa Nguo nyeupe wanapiga dili tu hasa hawa wanaotembea na pikipiki kwqkweli siye waendesha boda boda tukiwaona tunakula kona maana ni vimeo tunahitaji tamko kama ni sawa na kama du sawa tuwe tunawapita tu wakitusimamisha