JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,177 Reaction score 7,472 May 11, 2025 #1 Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali. Your browser is not able to display this video.
Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali. Your browser is not able to display this video.
R Rascallone Member Joined Dec 20, 2017 Posts 82 Reaction score 58 May 11, 2025 #2 Tundu yupo, mnataka nini tena?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,077 May 11, 2025 #3 Hatari sana