Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,326
- 7,788
- Thread starter
- #21
Wewe endelea kulishwa Matango Pori na magaidi ambao Wameifanya Gaza iwe ilivyo leo!!! Na wala hawashtuki maelfu ya wananchi wa Gaza wanavyopukutika kama nzige!!!Yaani niache kumsikiliza Abu ubaida nikusikilize wewe? Umerogwa? Kila mtu na habari zake usinipngie. Mimi nimeamka na sherehe leo
Anyway wewe endelea kushabikia waovu. Kwa taarifa yako tu Mimi kesho asubuhi natarajia kurudi nyumbani baada ya kukaa Ughaibuni kwa miezi 3 nilikuwa na Zawadi kwa Ritz na Mjuukuu wake Adiosamigo kama hawatajali tukutane hapo Dar Nina Zawadi zao hizi hapo chini.