Askari wanne wa Israel wauwawa huko Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Wanajeshi 4 wa IDF wameuawa na wengine 5 kujeruhiwa baada ya jengo lililokuwa limetek wa milipuko kusini mwa Gaza kuporomoka.

Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa na watano kujeruhiwa na mlipuko katika jengo moja kusini mwa Gaza ya Khan Younis asubuhi ya leo, jeshi latangaza.
Wanajeshi wawili waliouawa wametajwa kama:

Sgt. Maj. (res.) Chen Gross, 33, wa kitengo cha makomando wa Maglan, kutoka Gan Yoshiya.

Wafanyakazi Sgt. Yoav Raver, 19, wa kitengo cha uhandisi cha Yahalom, kutoka Sde Warburg.
Majina ya wanajeshi wengine wawili yatatolewa baadaye, jeshi linasema.

Kulingana na uchunguzi wa awali wa IDF, wanajeshi waliingia ndani ya jengo hilo ili kuondoa uwezekano wa miundombinu ya ugaidi, ikiwa ni pamoja na mahandaki.

Jengo hilo lilikuwa limetegwa na mlipuko na mlipuko huo ulifanya jengo hilo lianguke kwa askari hao, na kuua wanne na kujeruhi wengine watano.

IMG_3174.png
 
View attachment 3358222
RIP soldiers
 
Usipunguze idadi nguruwe Leo wamefyekwa si michezo, almost 14 na majeruhi kibao. Huiwezi niambia ambush zaidi ya 6 wafe wanne na Bado siku ipo
 
Hapo wamepukutika wa kutosha, ndiyo maana wanawatanguliza wahalifu wa palestina waliowapa silaha
 
Usipunguze idadi nguruwe Leo wamefyekwa si michezo, almost 14 na majeruhi kibao. Huiwezi niambia ambush zaidi ya 6 wafe wanne na Bado siku ipo
Huwezi kupiga ngumi Mkuki!! Lete uthibitisho wa idadi unayoijua wewe. Hapo ndipo waislamu na Taqiyyah yao wanaposhindwa. Maana akili zao ni Uongo uongo ukiwaambia kudhibitisha mnashindwa. Hivi hata hiyo dini yenu uongo Inaubariki?

Nimekuwa Nikiona hata Yemen naye uongo uongo tu unatawala kila siku anadanganya watu wake eti wameupiga uwanja wa ndege wa Ben Gulion kwa makombola ya Hypersonic wakati si kweli kila leo Israel Inayapopoa makombola ya Ballistic tu hakuna hata moja la Hypersonic.
 
Nahisi kunamsaada kutoka nje ya Gaza unaisaidia Hamas, na huu ni mwanzo tu,kuna nguvu kubwa itaibuka nyuma ya Hamas na kuongeza ugumu kwa Israel kutimiza malengo yao.
 
Huwezi kupiga ngumi Mkuki!! Lete uthibitisho wa idadi unayoijua wewe. Hapo ndipo waislamu na Taqiyyah yao wanaposhindwa. Maana akili zao ni Uongo uongo ukiwaambia kudhibitisha mnashindwa. Hivi hata hiyo dini yenu uongo Inaubariki?

Nimekuwa Nikiona hata Yemen naye uongo uongo tu unatawala kila siku anadanganya watu wake eti wameupiga uwanja wa ndege wa Ben Gulion kwa makombola ya Hypersonic wakati si kweli kila leo Israel Inayapopoa makombola ya Ballistic tu hakuna hata moja la Hypersonic.
Operation Gideon hii ndio uliyokua ukitangaza haya ndio matokeo yake Netanyau Leo kasema ilikua siku ngumu na uchungu Kwa IDF ile wew wwaa maji matitu unaatuletea takkiya na porojo Zako, hii ni mimba eiza uzae au uporomoshe ila kilicho tumboni kitatoka ipo siku huna budi. Ulishatia kichwa maji utanyoa TU Hata Kwa fimbo
 
Operation Gideon Chariots inaendelea vizuri sana magaidi wanaendelea kufyekelewa mbali. Kwa Jeshi la Israel kupoteza askari 4 ni pogo kubwa sana maana ni sawa na Miarabu 200 hivyo Netanyahu alikuwa sahihi kabisa kusema ana uchungu sana.

Nijuavyo Mimi vita si lelemama na ndiyo maana kupoteza askari ni kawaida sana na kwa Majeshi ya Israel hiyo ni namba ndogo sana ukilinganisha na wao wanavyowapukutisha magaidi wa Kiarabu huko Gaza.
 
Hahaha hio namba ndio netapaka kawadanganyia? Jana ilikua ni kusomba TU mait na nusu maiti helkopta zilikuwa ni ruti Kama daladala
 
Kwa akili yao hiyo Taqiyyah itakusaidia nini wakati jana hiyo zaidi ya magaidi ya kiarabu 100 yameuliwa?
 
Hili suala Bado munaweweseka wengine 4, wengine 5, wengine 17 Jana mlishikwa pabaya watu sita walizikwa hai Kwenye kifusi.
Operation tofauti zaidi ya 7 za kushitukiza wafe wa4? Na nilishashasema humu Allah hatamuacha salama kila alietia mguu Gaza ni suala LA muda
************************************
Seventeen soldiers from the Zionist occupation forces were killed or injured in a qualitative operation carried out by the Palestinian resistance, in which a booby-trapped house was blown up while the soldiers were taking cover inside it in the Khan Yunis area, southern Gaza Strip. They fell between dead and wounded, and they remain under the rubble as the occupation continues its attempts to rescue them. 🇵🇸🔻

**************************************
The Zionist occupation officially announces: 5 soldiers were killed and 4 others were injured from elite units after falling into an ambush by the Palestinian resistance in Khan Yunis, south of the Gaza Strip. 🇵🇸🔻
***************************************

Urgent news .. 4 his Zionist soldiers were killed in an ambush in Khan Yunis, in the southern Gaza Strip

Berita Mendesak .. 4 Tentara Zionisnya terbunuh dalam penyergapan di Khan Yunis, di Jalur Gaza Selatan
 
Labda hiyo habari ni kwa mjibu wa Aljazeera au PressTv wasemaji wa Magaidi wapiga Taqiyyah za Kimataifa. Vyombo hivyo hata aibu hawana na wajinga na wapumbavu wanaviamini maana wanaamini wakimsemea uongo adui yao basi uongo huo unageuka kuwa kweli!!

Huo ni uongo endeleeni kujilisha uongo na ndiyo maana hata umeogopa kuambatanisha link ya uongo huo maana unajua tutakuhoji!!!!
 
Yaani niache kumsikiliza Abu ubaida nikusikilize wewe? Umerogwa? Kila mtu na habari zake usinipngie. Mimi nimeamka na sherehe leo
 
Back
Top Bottom