Kama idea zipi? you can't escape attacking personal life Kama mtu ni Mwizi na anatumia Madaraka vibayaUmechelewa njomba,tamko limeshatoka kwa Mkulu.
Cha msingi tujikite kwenye idea na si personalities
duuh, mkuu umenichekesha sana.Hii kolabo ya Chato na Kolomije inacheza mchezo hatari sana
Kuna hatari siku moja Kolomije ataingia vituo vya radio na 'jeshi lake 'na kutangaza kuanzia sasa yeye ndio BWANA MKUBWA
Huu ni ukweli mchungu.Nchi ishapoteza mwelekeo wahuni wameshika usukani.
hawakomi mpaka mkome.
Ikulu si wanalinda FFU? Au wamebadiri?
Alitoka nao bavicha makao makuu.Maswali:
1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?
2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?
3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?
Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Maswali:

= wamebadili
Wewe nawe Anika Kiswahili vizuri, kufundwa kote JF bado tu huelewi wapi pakuweka R na wapi pakuweka L.
Usije ukavunja ndoa yko tu maana mihemuko imezidi!Aliwanunua
Makonda oyeeeeee
Ile clip ya cctv
mmmmmmmh
?????????????????????????????
Maswali:
1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?
2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?
3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?
Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Moja kati ya maswali yaliyochelewa kuulizwa kabisa. Kwa nidhamu ya majeshi yetu ni vigumu sana Polisi na JW kuungana muda kama huo tena kwa jambo kama hilo! Nadhani kuna haja ya ku clear vizuri hali hii. Haiwezekani katika hali na akili ya kawaida.Maswali:
1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?
2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?
3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?
Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Makirikiri wanalinda ofisi za usalama wa taifa sio ikuluIkulu si wanalinda FFU? Au wamebadiri?
Sasa RC aliwapataje?Makirikiri wanalinda ofisi za usalama wa taifa sio ikulu
Wanavaa nguo kama za ngozi ya fisi
Walipelekewa matunguriduuh!!yaani walinzi wa magogoni wachomokaje kuacha lindo ili kuenda mawingu kuwatisha shilawadu,hapa mtakatifu anahusika,nchi imevamiwa bandugu tuwe macho
Anika wakiiona shilawadu!?= wamebadili
Wewe nawe Anika Kiswahili vizuri, kufundwa kote JF bado tu huelewi wapi pakuweka R na wapi pakuweka L.
Anakaa masaki.Hana mandate,yeye ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa ila si kwa majeshi haya.
Wale wanajeshi/polisi/nanii sijui aliwatoa wapi,Kamanda wao kama ni mstaarabu ajiuzulu kabla ya kesho.
Haifahamiki Bashite so far anapoishi,ulinzi uliongezwa baada ya kumtaja Chid Benzi anatumia ngada.
Nenda Somalia. Nchi imetulia kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa. Tuachieni Magufuli wetu.Nchi ishapoteza mwelekeo wahuni wameshika usukani.