Askari wa misitu Arusha waua wanakijiji wanne kwa risasi

Askari wa misitu Arusha waua wanakijiji wanne kwa risasi

Ungeingia shule kwanza ukasoma historia na dynamics za pastoralism usingepost hoja dhaifu kama hii.
Kauli ya kabombe angezungumza mbele ya wafiwa angechezeaaa kichapo cha haja

OvA
 
Tupe wewe hizo dynamics za patriotism na historia
Unaona wala mimi sijasema patriotism. Ndio maana nimesema ingia shule kwanza upate scholarly arguments na sio kuja na vihoja dhaifu tu eti "zero grazing ." Suala hilo ni complex kuliko unavyofikiria.
 
Unaona wala mimi sijasema patriotism. Ndio maana nimesema ingia shule kwanza upate scholarly arguments na sio kuja na vihoja dhaifu tu eti "zero grazing ." Suala hilo ni complex kuliko unavyofikiria.
Complex kivipi,kuna sheria ya kudhibiti ufugaji holela unaijua wewe?sasa mmasai anatoka simanjiro anakwenda kumshindilia mtu mshale Kilosa,kisa katiba inamruhusu kutembea sehemu yoyote katika jamhuri hii,sawa,lakini sio na ng'ombe 3,000
 
Back
Top Bottom