GE2025 Askari wa majeshi mbalimbami wafanya mazoezi ya kujiimarisha barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi.

Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi hayo, Askari ambao wameshiriki zoezi hilo wameshuhudiwa wakipita maeneo mbalimbali Mjini Morogoro.

Soma pia: Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro laungana na majeshi mengine kufanya mazoezi ya pamoja

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amesema zoezi la kuimarisha afya kwa majeshi hayo ni endelevu na kwamba linajimuisha nyimbo za kizalendo zenye kuleta mshikamano wa pamoja, hivyo wananchi hawapaswi kuwa na hofu.

Naye Captain Yona Mtaita amesema mazoezi yanawaimarisha kufikia lengo.
 
View attachment 3487436

Wanamfanyia nani mazoezi hayo? Hayo mazoezi ni kwa faida yao, waendelee kufanya tu, kumbe walikuwa hawafanyagi hadi leo hii? Basi hatuna jeshi la maana. Ndiyo maana lilikamatwa Rwanda wakarudishwa nyumbani kwa aibu....Kutembezwa mitaani.
 
Ni jambo jema, kulinda wananchi dhidi ya wahalifu na magaidi yenye misimamo mikali
 
Back
Top Bottom