Na yeye amebeba ili apige tu picha,baada ya picha amebeba mifuko mingapi?.Wanaume hizo ni kazi tunazifanya kila siku,na ni sehemu yetu ya maisha,hatuwezi kupiga picha na kutupia mtandaoni kwa kubeba kg 50 ya mfuko wa saruji.Labda ninyi wa Dar ndio habari kubeba mfuko wa kilo 50.Halafu wanaume wamesimama wanapiga picha.[emoji28][emoji28][emoji28]