Askari wa kike makete alawitiwa

pombe sio mbaya wanadamu ndio wabaya!"Drink beer save water"

mkuu actually hiyo ni 'drink beer lose water'..si unaonaga baada ya kilaji unavyokwenda haja kwa fujo?tena mkojo mweupee manake ni maji tupu yale yanapotea toka mwilini!
 
Sheria za polisi zinasemaje juu ya ulevi kwa askari wake?
Nadhani adhabu aliyokuwa aipate kazini kwake kaipata baa!
Nawaombeni kaka zangu msichukulie ubakaji kama adhabu hata siku moja. Ni kosa linalo lingana na kuua, nyinyi hamjui tu. Congo walianza hivi hivi watu wanabakwa mmoja mmoja then kukitokea tu maanda mano ao hali yoyote inayo ziwiz serikali kuenforce law and order watu wanachukulia opportunity kuwabaka wanawake around them (haswa wale wanao onekana kama wanajeuri etc). Sio Congo yote ila baadhi ya sehemu. VIta lilipo ripuka mara ya pili in 1998 ubakaji ukawa unatumiwa kama silaha. Askari wakiingia kujijini wanabaka wanawake ili kuwakomesha waume zao na pia wanajigawia wanawake as "trophees".
Sasa kama tanzania ubakaji utachukuliwa kama adhabu ya walevi au ya wanawake wajeuri au tena namna ya kulipiza kisasi, it will just be a matter of time before rape becomes endemic...
 
Mi naona watu hawako fair kulaumu tu kuwa pombe ni mbaya. Kwani hao wabakaji nao walikuwa wamelewa? Hata kama alikua amelwa kitondo hicho ni unyama. Real men hawaforce kupata huo "utamu2. Real men convice kwa hoja na wengine mali

Japo ni nje ya mada je kuna tofauti gani gati ya kulawitiwa na kubakwa.
 
bibiye kajinyea halafu wewe unauliza kama vijana hawakuruka ukuta?njia ya kawaida haitoi mavi mkuu,labda kama bibiye hayuko sawa kimaumbile!
Kama mwanamke akibakwa njia za haja ndogo na haja kubwa zinakutana kwa kupasuka pasuka. Read about fistula ndio utaelewa. wanaweza wasiruki ukuta ila unyama wa tendo lenyewe wakajikuta wamepasua njia hadi pande la pili...
 
Hivi yale matangazo yenye hako kamsemo si kwa hisani ya jeshi la polisi sijui na wizara gani? Sa ina maana polisi nao hawafunzwi kuwa ulevi noooma!???? Wangeanza kuelimishana wao kabla hawajaanza kuelimisha umma
Kwenye makambi yao bia zinauzwaga buku.
 
Kama mwanamke akibakwa njia za haja ndogo na haja kubwa zinakutana kwa kupasuka pasuka. Read about fistula ndio utaelewa. wanaweza wasiruki ukuta ila unyama wa tendo lenyewe wakajikuta wamepasua njia hadi pande la pili...

ungesoma post yangu vizuri aise.nimesema 'labda bibiye hayuko sawa kimaumbile',maana yangu ni ku include na hiyo fistula yako!
 
Maskini dada wa watu!
Nilidhani mambo ya kulawiti yapo sehemu za pwani tu kumbe hata Makete!
 
Yule Padri wa kichaga amemlawiti mtoto na kumnyonga uume hadi kumtoa damu! Yeye ni mkatoliki mchaga wa Moshi!
Usisahau yeye ni binadamu wala si Mungu, na ahukumiwe 30yrs hata kunyongwa, hatutetei upuuzi
 
huyu askari labda alikuwa napenda huu mchezo??
tatizo la hawa jamaa na wao wamezidi kuwafanyia raia ukatiri ndo maana na raia wanaamua kufanya ukatiri kama wa huyu dada afande. Lakini vipi kaka hii picha ninayoiona hapa ndo ya huyo afande aliyefanyiwa hayo madavdav?
 
Back
Top Bottom